Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Nimekaa na kutafakari juu ya siasa za Tanzania. Maana ni kama zimekosa muelekeo kabisa

Je, ina maana Spika Ndugai na bunge lake waliapisha Wabunge ambao hawajapata baraka ya chama chao kuwa wabunge wa viti maalumu?

Kwa nini Spika alijigamba kuwa anawatambua hawa wakina mama wa Chadema ili hali akijua ni kinyume na katiba ya JMT?

Spika alijisahau kuwa katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mbunge akikoma kuwa mwanachama anakosa sifa ya kuwa mbunge?

Je, kwa ubabe aliouonyesha na kudai atawalinda kwa udi na uvumba,haoni kama wamemuumbua.

My opinion, kiongozi ni mtu kwenye dhamana katika jamii,kama anatakiwa kusimamia haki basi anatakiwa asiwe na double standard. Maana wamama waliofutwa ubunge Chadema leo wanaweza kuwa wamemtia mtu nishai.
 
Hicho kizee kina sura ya mbuzi, hakina roho, aibu kiitoe wapi?
Jamani tuendelee kumuombea mwenzetu , ana saratani ya ubongo. Maamuzi yake siku hizi hafanyi yeye, yanafanywa na saratani ubongoni. Nawaonea Huruma sana mama D na USSR kwa kufurahia uvunjwaji wa katiba.
Hawa nao tuwapeleke India, lazima watakuwa tu na ugonjwa mbaya, maana huko CCM hata mapapai yao na mbuzi na kuku vyote vina COVID-19
 
Jamani tuendelee kumuombea mwenzetu , ana saratani ya ubongo. Maamuzi yake siku hizi hafanyi yeye, yanafanywa na saratani ubongoni. Nawaonea Huruma sana mama D na USSR kwa kufurahia uvunjwaji wa katiba.
Hawa nao tuwapeleke India, lazima watakuwa tu na ugonjwa mbaya, maana huko CCM hata mapapai yao na mbuzi na kuku vyote vina COVID-19
Huna haja ya kumpeleka mama D India,mpange alafu umtimizie haja. Maana wanawake siku hizi wanazidiwa. Huyo mwingine achana nae.
 
Bujibuji tandu uanze uganga wa jadi na mshara jr umekuwa usiye na staha kabisa
Nyie hamna hata util kidogo kwa katiba mliyoitengeneza wenyewe na kuiasisi wenyewe. Na Sisi tunawasindilia tu mijisindano hadi pale mtakapotambua kuwa taifa hili ni la Watanzania na sio la wana CCM, na hayo matabaka mnayoyaweka kwamba CCM na watu wake ndio raia daraja la kwanza na wapinzani kundi moja na mashetani, hakika vinaleta mpasuko mkubwa sana kwa wananchi. Na Kuna siku inakuja isiyo na jina tutauana wenyewe kwa wenyewe.
Kuna msemo, ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya
 
Pakoje kutumia muda mrefu ilikuwa suala la njini walishafix mpya iko poa dk45
Umepita pale Jangwani Siku hizi mbili ukapaona palivyo? Ule ubadhirifu wa mabilioni ndio uzalendo?
Au lile li MV Dar Es Salaam lenye kutumia masaa 12 Dar Bagamoyo na mafuta lita 1370 ndio uzalendo wenyewe mnaojivunia?
 
Umesoma mjadala lakini
Ndege sio udhalilishaji bwana, nyege ni sifa ya ukamilifu. Ukosefu wa nyege, ashok na nguvu ya kujamiiana ndio upungufu.
Wacha kuendeshwa na hisia mwana utopolo wa buku saba
 
Acha Tu Tuone Viroja Ndani Ya Tanzania
Wanaotuangusha Ni Wasomi Wameshindwa Kufikiria Nje Ya Box.
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Back
Top Bottom