Lissu wako wapi wale watu uliosema utawaingiza barabarani?

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,144
27,154
Habari wanajf, poleni na pilikapilika za sikukuu hizi za mwisho wa mwaka.

Moja kwa moja niende kwenye jambo ambalo limenisukuma nije kuandika uzi humu.

Wote tunakumbuka kipindi cha kampeni mwaka huu kilivyopamba moto.

Kulikua na kila aina ya ngebe na majigambo kwa kila upande unaoshiriki kwenye uchaguzi.
JF kama ilivyo kawaida zikaibuka id's nyingi sana mpya.

Kubwa ni lile la Lissu kusema atawaingiza barabarani watu. Moja kwa moja wenye akili ndani ya chadema walisubiri huo muda ufike ili tuone kama ataweza.

Lissu kwa jeuri na mihemko ya hali ya juu alisema atawaingiza watu barabarani, na hili amekuwa akilisema mara kwa mara kwenye mikutano yake.

Wenye akili tulikuwa tunaendela kujiuliza pengine Lissu kuna watu anawafuga kama mifugo, hivyo akikohoa tu nao wanafata.

Siku ikafika, akaamuru watu waingie barabarani, ila bahati nzuri wabongo huwa ni wanafki(na mimi nikiwemo), huwa tunakusupport kwa kila aina ya maneno, linapokuja suala la vitendo huwa tunaanza kukusengenya.

Humu JF kabla ya kutangazwa watu kuingia barabarani, watu wengi walionekana kuhamasika na kupost kila aina ya ngebe wanazozijua, ila ilipofika siku ya tukio, wote waligeuka na kuanza kusema polisi wametumia nguvu sana ndio maana hatujatokea.

Unafki unakupa pale ambapo haohao wanaosema hawajaandamana sababu ya polisi ndio haohao waliosema polisi hawataweza kuzuia nguvu ya umma.

Na ni hawahawa waliosema Lowassa ana busara kwa kutotoa amri ya watu kuandamana kwa kuwa ingeleta maafa, na wakaenda mbali zaidi na kusema walikuwa wanasubiri Lowassa atoe tu tamko waingie barabarani.

Mungu si athumani, mwaka huu Lissu akatoa tamko, wote tunajua kilichotokea. Hawa ndio Wabongo.

Ni kweli, polisi wala jeshi hawawezi kuzuia nguvu ya umma, mifano ipo mingi sana. Hivyo ni dhahiri wale watu aliosema lissu kuwa atawaingiza barabarani HAWAPO.

Lissu ulishindwa vipi kujua kuwa huna nguvu ya kuamrisha watu kuingia barabarani?

Pole Lissu, umejifunza jambo. Ila kama bado hujajifunza ningependa kujua wale watu uliokuwa unaringia kuwaingiza barabarani WAPO WAPI??
 
Wewe ni demu wa kigwa. Naona leo hajaosha rungu lake
 
Umekosa ya kuandika au?Uchaguzi umekwisha na maisha yanaendelea!Ikumbusheni serikali juu ya ilani ya uchaguzi hasa bima ya afya kwa kila mtanzania sio kutujazia porojo hapa!
 
Wewe ni demu wa kigwa. Naona leo hajaosha rungu lake
Haikusaidii chochote, na mandishi yako haya watasoma na watoto zake, hujisikii vibaya kuandika matusi kama hayo mkuu
Kwa nini usingekaa kimya tu aisee!

Je, kunafaida umepata baada ya matusi hayo??
 
Unasema Lissu hana nguvu hao CCM wenye nguvu ndio wanategemea ushindi wa kura za kwenye mabegi meusi?

Wacheni kuchezea akili za watu muonekane mnakubalika kumbe hamna lolote, watu kutojitokeza kwenye maandamano ya Lissu kulichangiwa zaidi na vitisho alivyotoa Mambosasa kwa waandamanaji, mngeacha kuwatisha waandamanaji muone nini kingetokea.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Habari wanajf, poleni na pilikapilika za sikukuu hizi za mwisho wa mwaka.

Moja kwa moja niende kwenye jambo ambalo limenisukuma nije kuandika uzi humu.

Wote tunakumbuka kipindi cha kampeni mwaka huu kilivyopamba moto.

Kulikua na kila aina ya ngebe na majigambo kwa kila upande unaoshiriki kwenye uchaguzi.
JF kama ilivyo kawaida zikaibuka id's nyingi sana mpya.

Kubwa ni lile la Lissu kusema atawaingiza barabarani watu. Moja kwa moja wenye akili ndani ya chadema walisubiri huo muda ufike ili tuone kama ataweza.

Lissu kwa jeuri na mihemko ya hali ya juu alisema atawaingiza watu barabarani, na hili amekuwa akilisema mara kwa mara kwenye mikutano yake.

Wenye akili tulikuwa tunaendela kujiuliza pengine Lissu kuna watu anawafuga kama mifugo, hivyo akikohoa tu nao wanafata.

Siku ikafika, akaamuru watu waingie barabarani, ila bahati nzuri wabongo huwa ni wanafki(na mimi nikiwemo), huwa tunakusupport kwa kila aina ya maneno, linapokuja suala la vitendo huwa tunaanza kukusengenya.

Humu JF kabla ya kutangazwa watu kuingia barabarani, watu wengi walionekana kuhamasika na kupost kila aina ya ngebe wanazozijua, ila ilipofika siku ya tukio, wote waligeuka na kuanza kusema polisi wametumia nguvu sana ndio maana hatujatokea.

Unafki unakupa pale ambapo haohao wanaosema hawajaandamana sababu ya polisi ndio haohao waliosema polisi hawataweza kuzuia nguvu ya umma.

Na ni hawahawa waliosema Lowassa ana busara kwa kutotoa amri ya watu kuandamana kwa kuwa ingeleta maafa, na wakaenda mbali zaidi na kusema walikuwa wanasubiri Lowassa atoe tu tamko waingie barabarani.

Mungu si athumani, mwaka huu Lissu akatoa tamko, wote tunajua kilichotokea. Hawa ndio Wabongo.

Ni kweli, polisi wala jeshi hawawezi kuzuia nguvu ya umma, mifano ipo mingi sana. Hivyo ni dhahiri wale watu aliosema lissu kuwa atawaingiza barabarani HAWAPO.

Lissu ulishindwa vipi kujua kuwa huna nguvu ya kuamrisha watu kuingia barabarani?

Pole Lissu, umejifunza jambo. Ila kama bado hujajifunza ningependa kujua wale watu uliokuwa unaringia kuwaingiza barabarani WAPO WAPI??
Tundu Lissu kweli kawabikiri akili zenu, hata mkipata mabwana laki nane bado tu hamumsahau. Nyau wakubwa nyie
 
Ile jeuri ipo wapi? Watu alioahidi atawaingiza barabarani wapo wapi sasa hivi? Tunataka mrejesho
Nadhani ilikuwa ni busara kuwaacha salama ili muifanye Tanzania kuwa "dona kantri", Arusha iwe kama Calfornia,Tanga Kama Dubai na Kigoma kama Hong Kong na Chatto iwe Kama New York
Nasema uongo ndugu zangu,nileteeni Gwajima

Mitano tena'
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom