Mrema wa TANROADS ang'olewa rasmi

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,420
2,000
Habari from TANROAD zinathibitisha kuwa Katibu mkuu, Naibu katibu mkuu na HR wa Miundo mbinu wamempa dispatch Mr Mrema na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa barabara vijijini Mr Mfugale. Na aliyekuwa meneja wa Tanroad Dar (Mr Nyabakari) amekuwa mkurugenzi wa Miradi-director of projects.

More to come tomoror
 
Diehard

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
426
500
Habari Njema, Mrema ameisaidia CCM katika pesa za kampeni barabara ya bagamoyo haikujengwa pesa zilipitia SUMA JKT kisha zikaliwa wakati wakandarasi viongozi wale wa koprea wanashangaa kwanini pesa ililipwa SUMA wakati wale walikuwa Subcontractors wakapewa wakafanye barabara nyingine,

Good NUUUUZ if its true
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,478
2,000
Kama kweli itakuwa faraja kwa ukwibaji wa hela za watz pale Tz
 
Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,109
1,225
Habari Njema, Mrema ameisaidia CCM katika pesa za kampeni barabara ya bagamoyo haikujengwa pesa zilipitia SUMA JKT kisha zikaliwa wakati wakandarasi viongozi wale wa koprea wanashangaa kwanini pesa ililipwa SUMA wakati wale walikuwa Subcontractors wakapewa wakafanye barabara nyingine,

Good NUUUUZ if its true

Hili nalo neno
 
nyasatu

Member
May 15, 2009
72
0
kwa kua habarizilisema kuwa magufuli alikua aende kwanza pata baraka za JK,it meansmkuu kakubali,ss kaa izi habari ni za kweli i wish mkuu angekua ana toa baraka za namna hii fasta fasta esp mara apokeapo ripoti za viongozi wasio aadilifu kama hawa...ss sijui wale wa takukuru,nc twende tukawaripoti wapiii.......kweli huu ni mwaka wa lala salama,MREMA KARIBU KIJIWENI...USICHEZE NA POMBE HANA MCHEZO
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,671
2,000
Kama ni kweli basi JF ni kiboko!! Maana watu wa Tanroads wenyewe hata habari bado hawajazipata. Kwa vile mleta hoja amesema ni tetesi then ibaki kuwa hivyo mpaka itakapodhibitishwa.
 
Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
1,500
jamani kama kweli magufuli amemtoa vizuri lakini nafasi ya anayeshika anateuliwa na rais na mchakato wake bado labda magufuli atangaze atayekaimu nafasi hii kwa muda,,
 
mama mkunga

Member
Aug 2, 2007
12
0
kawaida sana habari hiyo obvious atapewa sehemu ya kula kiulainiiii bila kelele wala propaganda. hamna habari hapo.
 
coby

JF-Expert Member
Nov 28, 2008
342
195
Kama ni kweli basi JF ni kiboko!! Maana watu wa Tanroads wenyewe hata habari bado hawajazipata. Kwa vile mleta hoja amesema ni tetesi then ibaki kuwa hivyo mpaka itakapodhibitishwa.

Wewe ndio sifuri kabisa! Nani aliyekuambia TANROADS sio members wa JF? Unamjua mleta mada? Au unadhani wanaJF ni akina nani hasa?!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom