Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola: Itafika sehemu Askari atakayewahiwa na kuuawa na Jambazi tutaichukulia hatua maiti yake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Kauli hiyo ya kikakamavu imetolewa na Kangi Lugola ambaye ni Waziri wa mambo ya Ndani ya nchi, ambapo amedai kwamba ni uzembe usiohitaji msamaha wowote kwa Askari kuuawa na Majambazi na ameenda mbali zaidi na kudai Maiti ya Askari atakayeuliwa na majambazi itakamatwa

Kweli nimeamini, kuna ukichaa wa aina nyingi. I mean, sio kili kichaa lazima avuwe nguo....
 
Kauli hiyo ya kikakamavu imetolewa na Kangi Lugola ambaye ni Waziri wa mambo ya Ndani ya nchi, ambapo amedai kwamba ni uzembe usiohitaji msamaha wowote kwa Askari kuuawa na Majambazi na ameenda mbali zaidi na kudai Maiti ya Askari atakayeuliwa na majambazi itakamatwa

View attachment 1219654
Hilo jamaa linachokijua ni kukata viuno tu kama Faru Rajab
 
Back
Top Bottom