Makongoro Nyerere kuvalia Shati la CCM katika Msiba wa Dada yako Rosemary wakati Makamu wa Rais tu hakuvalia hivyo umejifunza nini?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani?

Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.

samia.jpg
 
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
CCM wenyewe wanamkatilia mbali kila siku.
 
Anatafuta kuteuliwaa tu hakuna jingine
 
Msiba huu ni wa dada yake na huyo unayemtolea mfano hahusiki na msiba, ukifiwa vaa shati la kijani kwani inalipa, hata Polepole analijua hilo.
 
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Naunga mkono hoja!
 
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani?....

Kwani mtu anapangiwa wapi avae nguo yake aliyonunua kwa mapenzi yake na kwa pesa zake?
 
Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Vitu vidogo vidogo visikushughulishe utapata ugonjwa wa kisukari
Ile ni haki yake hajavunja Sheria,jifunze kuwa na uvumilivu kijana
 
Back
Top Bottom