Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi...
Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza Lowassa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrithi Kikwete (alipaniwa).
Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa...
Kuna clip iko kwenye mitandao ikionyesha mahojiano aliyofanyiwa mchungu Msigwa na Darmpya tv, ambapo mchungaji Msigwa anasikika akiongelea swala la critical thinking.
Msigwa anasikika akisema...
Hii imetokea usiku wa kuamkia leo, mkesha wa mwaka mpya wa 2020 baada ya Rais kumpigia simu akiwa jukwaani na kumpongeza Diamond.
Diamond amemhakikishia ushindi wa kishindo 2020 kwenye uchaguzi...
Mabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi.
Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi?
Hapo ni...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amempa siku mbili Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoni Ruvuma, Gaspar Balyomi, awe amepeleka gari katika shule ya Sekondari Tunduru kwa ajili ya...
Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki.
Nchi yetu ina hazina na wengi wako...
Akijibu hoja ya Profesa Jay kuwa wasanii wakiimba nyimbo za siasa kuhihoji serikali wamekuwa wakinyanyaswa ila wakiimba nyimbo za kuisifia tu wanaachwa Mwakyembe amejibu kuwa wasanii hawatakiwi...
Kwamba Waziri anapata taarifa za ubadhirifu mkoa flani anasubiri hadi siku apate wasaa wakusafiri kwenda mkoa husika ndipo akatangaze kumsimamisha mtuhumiwa kazi?
Hivyo vyombo vinavyomlisha...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema Madiwani na Mbunge mmoja wa CHADEMA, ambao wameapa baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020 hawajatenda jinai.
Lakini amesema...
Wakuu kuna jambo ambalo limekuwa likini kera sana, ... the so called spin doctors huwa wanakuja na vihoja vya kuhamisha mijadala!!! pindi Wananchi wakihoji uhalali wa kupandisha Bei ya Umeme huku...
Wakuu wanajf,
nalazimika kuwauliza leo kuhusu wasomi wetu hapa bongo. Hasa swali langu linahusisha uwezo wao wa kufikiri na kuamua.
Nimekuwa nikifuatilia mara kadhaa pale linapotokea suala la...
Wahenga wanasema kuuliza si ujinga na hakuna swali la kijinga ila kunaweza kuwa na jibu la kijinga. Mimi ninamwandikia waziri mkuu barua ya wazi ili kujua ukweli maswali yanayonisumbua. Barua...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA) amesema fedha alizokopeshwa na serikali kwa ajili ya kununulia gari atazitumia kuanzisha taasisi ya kukopesha wanawake ili kuwawezesha kuinuka...
Ndugu watanzania wenzangu hasa wapenda mabadiliko mtakumbuka kwamba kamati ya maadili siku za nyuma (miezi 3 imepita) iliwaita wanachama wake wanaotangaza nia ya kuutaka Uraisi na kuwazua...
Kiroho safi niwapongeze viongozi wa vyama vya CHADEMA, CUF na NCCR kwa mashirikiano katika suala hili la mchakato wa katiba mpya. Wanachama na wapenzi wa vyama hivyo na wapenda mabadiliko...
Salaam,
Wakati fulani namkumbuka babu wa Loliondo.Jambo linalonifikrisha hasa na kunipa raha kweli juu ya babu wa Loliondo, ni jinsi alivyokuwa ameweza kuwashika watu, wananchi wa kawaida kwa...
Asilimia kubwa ya Watawala wetu hawa amini Mawazo ya wadau bali mawazo na Ushauri wa waganga wa Kienyeji!!
Ukweli ni kwamba hapa tulipofikia hata mtu wa Kawaida anaweza kusitisha Bunge la Kabina...
Ally Kessy mbunge(CCM)akitoa taarifa kwa Naibu Spika kuhusiana na serikali kupata hasara ya Tsh 4.9Bilion za kutotumia dawa zilizoagizwa na kuisha muda.
Kawalamu mawaziri na serikali kwa ujumla...
BABA MTU ANASEMA TUKIKUANGALIA SURA TUSEME HUYU NAYE KWELI ANAPINGA RUSHWA NA UFISADI KWELI
Je Wewe Ni Mla Rushwa Wewe Kweli?
Je Wewe ni Fisadi Wa Nchi Kweli?
KAULI YA JANA TAREHE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.