Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM NA SERIKALI YENU MSITULAZIMISHE VITA SINGIDA. Na Suphian Juma. Nipo kwetu mkoani Singida kusalimia kwa takribani wiki sasa. CCM tunajua mna kambi mnayowapa mafunzo ya kijeshi vijana wenu wa...
16 Reactions
45 Replies
9K Views
UFUATILIAJI WA MAJIBU YA RUFAA YANGU- SUPHIAN. Napata simu, maswali ana kwa ana na jumbe nyingi za wananchi wa Jimbo la Singida Magharibi, marafiki, ndugu na jamaa kutoka sehemu mbalimbali nchini...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanabodi, Heri ya mwaka mpya wa 2021! Nimekaa kwa muda nikitafakali, kujiuliza na kutafuta majawabu kuhusu mienendo ya viongozi kuwachapa bakora wananchi kufuatia tuhuma mbalimbali dhidi ya...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili. Jafo...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza kupungua kwa bei ya petroli kwa Sh31 kwa lita moja mwei huu. Wakati petrol ikipungua, bei ya dizeli imeongezeka...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
BoT, Police following up black market forex SATURDAY DECEMBER 19 2020 The Bank of Tanzania headquarters. PHOTO | FILE Summary Since the government shut down the bureaux de change, the business...
8 Reactions
64 Replies
10K Views
JamiiForums ni bidhaa ya Kitanzania iliyoundwa na watanzania kwa ajili ya watanzania. Rais wetu amekuwa akisisitiza sana Raia wetu kutumia vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu lakini naona yeye ana...
10 Reactions
60 Replies
5K Views
Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea. Membe amesema yeye...
12 Reactions
92 Replies
9K Views
Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam! Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk. Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza...
8 Reactions
135 Replies
11K Views
Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti. Nini kimewatuliza? Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde...
15 Reactions
106 Replies
12K Views
Mh Mpango mimi naombi moja ni bora ukubali jiuzulu au uendelee kusimamia kile mnakiamini kwamba pesa ipo na watu wameficha hivyo mnapambana kuzipata hizo pesa kwa ku impose new tax return na...
27 Reactions
43 Replies
6K Views
NAIBU WAZIRI UMMY ASHITAKIWE KWA KUWACHAPA VIBOKO WANANCHI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Waliochapwa viboko na huyu Naibu Waziri UMMY NDELIANANGA wamshitaki. Waje tuwasaidie...
17 Reactions
38 Replies
5K Views
Asasi nne za kiraia zimeifikisha mahakamani Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa karibuni ambao ulimrudisha madarakani Rais John Pombe Magufuli. Taasisi kutoka Kenya...
14 Reactions
50 Replies
8K Views
Mwanamke wa Australia amekamatwa na kushtakiwa nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukosoa jinsi Rais wa Tanzania anavyoshughulikia janga la COVID-19 katika chapisho la mitandao ya kijamii. Zara...
11 Reactions
147 Replies
22K Views
CHONDE VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI - HISTORIA INAWASUTA. "Viongozi wa dini kuhamasisha watu kupiga kura wakati huu, ni sawa na kuchochea chuki" Hali ya maisha katika nchi za mashariki ya kati...
43 Reactions
132 Replies
14K Views
Naungana na Rais wetu mpendwa kuhusu historia ya nchi yetu kupewa umuhimu unaostahili mashuleni na vyuoni kwani kwa kiasi fulani nadhani itasaidia kuliweka taifa katika mstari hasa katika nyanja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nitawaletea mesej kama ilivyotumwa ''Huyu mzee sijui anataka kutupeleka wapi, sisi wabunge WA CCM tukipiga kelele tunaonywa, Ishu ya Chato mnatake it as a joke lakin mambo haya si ya kukingia...
7 Reactions
154 Replies
16K Views
Karibuni uraiani Tito Magoti na Theodore Faustine baada ya kununua uhuru wenu kwa mil.17 . Shukrani kwa Mungu wapo nje ila bado mifumo yetu ya utoaji haki bado ina kasoro kadhaa. Sheria...
10 Reactions
85 Replies
9K Views
Back
Top Bottom