Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hadhi ya mtu, jamii au taifa hutokana na vitu viwili tu; mali/rasilimali au akili/maarifa waliyonayo. Yaani utajiri hutokana na matumizi ya kimoja wapo kati ya vitu hivi au vyote viwili kwa pamoja...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa...
60 Reactions
405 Replies
41K Views
Hadhi ya mtu, jamii au taifa hutokana na vitu viwili tu; mali/rasilimali au akili/maarifa waliyonayo. Yaani utajiri hutokana na matumizi ya kimoja wapo kati ya vitu hivi au vyote viwili kwa pamoja...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Kwanini Kongo- Kinshasa Kunafukuta? - Ubia wa Kabila na Tchisekedi u-mashakani - Kuilewa Kongo- Kinshasa Lazima Uumize Kichwa - Kabila ( Baba) alimwandaa Mwanawe Joseph tangu Kunduchi Mtongani...
13 Reactions
66 Replies
10K Views
Tanzanians have to pay $900 for a permit to blog, a staggering amount for many in the country, say critics who see the fee as a further bid by President John Magufuli to gag dissident voices. A...
5 Reactions
109 Replies
13K Views
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu maboresho yanayofanywa na LATRA kwenye sekta ya usafiri wa abiria lakini sijaona Jipya. Nikikumbuka kampuni yangu pendwa ya mabasi ya Scandinavia naona viwango...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni...
30 Reactions
84 Replies
14K Views
Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa. Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia...
10 Reactions
56 Replies
6K Views
Jf Naona anguko la NHC baada ya kususua kwa biashara nyingi Mjini linakuja kwa kasi, huku wafanyabiashara Mjini wakizidi kufunga biashara kwa kasi. Kinachokukwamisha ni kutojua kuwa wengi wa...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ambao wafuasi wa Chama cha Lumumba walidai ni wa kinyonyaji unatarajiwa kurejea rasmi. Sasa Bagamoyo kuwa kama Dubai. ======== Discussions are ongoing to get the...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge leo Jumanne Januari 5 amesema wanafunzi waliofaulu kuingia kidato cha kwanza mwaka huu watasoma kwa zamu kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa...
4 Reactions
58 Replies
7K Views
  • Closed
Nimempigia kura Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017 kama Mwafrika Bora wa 2017. Ni imani yangu kwamba Tanzania...
26 Reactions
822 Replies
72K Views
TUNDULISSU, ZITTO NEMBO YA UTANZANIA, TANURU KWA UDIKTETA. Na: Suphian Juma Sept 7, 2017 kama leo nakumbuka taarifa ya awali ya kushambuliwa risasi Mbunge Tundu Lissu huko Dodoma niliipata...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu! Mtu yupo Belgium anazungumza...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Hatuwezi kuendelea kukaa kimya. Taifa letu linaaibika vibaya sana. Wahusika wanajulikana. Wametajwa mara nyingi na mbinu wanazozifanya kwa kutumia wasanii wa kizazi kipya na waigizaji almaarufu...
56 Reactions
1K Replies
466K Views
Chifupa atishiwa kuuawa 2006-11-16 09:03:34 Na Rosemary Mirondo na Beatrice Philemon Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Bi. Amina Chifupa, ametishiwa kuuawa na watu wasiojulikana kupitia simu yake ya...
5 Reactions
42 Replies
12K Views
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni. Binafsi naamini vitendo hivi vinajenga chuki na...
22 Reactions
92 Replies
8K Views
VIJANA TUKIZEEKA TUZEEKE KAMA MAALIM SEIF Na: Suphian Juma; niliandika andiko hili Mei 11, 2019. Karibuni tusome tena, Vijana. Kama ilivyo matamanio ya binadamu yeyote katika matarajio ya kuishi...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
SAKATA la biashara ya dawa za kulevya limeibuka upya, baada ya Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), kusema ataanika majina ya vigogo wanaofanya biashara hiyo haramu. Akizungumza bungeni juzi...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
NINGEBARIKIWA MRIJA MMOJA WA UTU KAMA RAIS, NISINGEMVUA UBUNGE LISSU. Na: Suphian Juma Nipo kwetu kijijini nilipozaliwa ambapo kwa sasa nahangaika kupatengeneza kwa kodi za wananchi kuwa jiji la...
21 Reactions
35 Replies
5K Views
Back
Top Bottom