Ukweli mtupu: Ni ngumu kudai utawala wa demokrasia na haki za binadamu huku ukiwa ughaibuni

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,913
2,000
Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!

Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense?

Unaposema mtakomaa ili utawala wa kidemokrasia upatikane wewe mwenyewe uliondoka kihuni na kula kona mpaka Brussels inaleta sense? Kwa nini usikae hapa Bongo na kutuonyesha hiyo demokrasia unayosema haipo?

Kuungwa mkono na Idu na kuona kama wataweza kuleta mabadiliko kwa demokrasia ya Tanzania huoni kuwa ni ndoto za mchana? Kwani hao Idu hawajulikani kwa watanzania kuwa ni vibaraka wa mabebeberu? Nani hapa Tanzania atakubali swaga zao za kisiasa?

My opinion, mwaka 2021 umeanza watanzania wanahitaji upinzani utaokuwa na positive results kwa maendeleo yao. Sio mtu yuko Ubelgiji anakula bata alafu analeta porojo za kisiasa.
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,463
2,000
Kambona alikuwa bongo aliuawa,Mtikila alikuwa bongo aliuawa,Sengondo Mvungi alikuwa bongo aliuawa au wewe ni JECHA
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,968
2,000
Arudi ili mu mpyu pyu pyu. Hilo sahauni na mapambano bado yanaendelea.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,966
2,000
Unapokuwa mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!...
Si kweli usemacho, wapigania Uhuru kusini mwa Afrika walikuwa Tanzania na walifanikiwa, nia yako ni kimkejeri Lissu na umetimiza nia yako.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,913
2,000
Si kweli usemacho, wapigania Uhuru kusini mwa Afrika walikuwa Tanzania na walifanikiwa, nia yako ni kimkejeri Lissu na umetimiza nia yako.
Wapigania uhurun walikuwa Tz na walikuwa wanaenda SA kufanya mashambulizi frontline.
 
Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,442
2,000
Kuna post zingine mtu cjui anakuwa amegombana na mwenza wake anakuja humu kushushia hasira zake

Kama mtu anasema hakuna Demokrasia akuwa ubelgiji. Tuoneshe wewe kuwa ipo ukiwa hapo nchini.

Umesahau kuwa chama chake kipo nchini na uongozi wake wote upo na wote wanazungumzia jambo hilo hilo?
 
Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
363
500
Kuna post zingine mtu cjui anakuwa amegombana na mwenza wake anakuja humu kushushia hasira zake

Kama mtu anasema hakuna Demokrasia akuwa ubelgiji. Tuoneshe wewe kuwa ipo ukiwa hapo nchini.

Umesahau kuwa chama chake kipo nchini na uongozi wake wote upo na wote wanazungumzia jambo hilo hilo?
Mbona hao viongozi wake wanaozungumza hayo hayo anayozunguza yeye hawaja wa pyu pyu!

Wala sijaona kiranja wake mkuu akilalama kutishiwa maisha. Yaani yeye mberigiji domo lake linauharo gani mpaka awe spot light ya pyu pyu!... "No fact no right to accuse", "evidence can be fabricated"
 
Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,442
2,000
Mbona hao viongozi wake wanaozungumza hayo hayo anayozunguza yeye hawaja wa pyu pyu!

Wala sijaona kiranja wake mkuu akilalama kutishiwa maisha. Yaani yeye mberigiji domo lake linauharo gani mpaka awe spot light ya pyu pyu!... "No fact no right to accuse", "evidence can be fabricated"
Waombe wakupeleke ukamalizie kazi huko huko aliko.

Ningekuwa Boss wako ningeshakutanguliza mda usiejua kazi.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,470
2,000
Unapokuwa mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!

Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense?

Unaposema mtakomaa ili utawala wa kidemokrasia upatikane wewe mwenyewe uliondoka kihuni na kula kona mpaka Brussels inaleta sense? Kwa nini usikae hapa Bongo na kutuonyesha hiyo demokrasia unayosema haipo?

Kuungwa mkono na Idu na kuona kama wataweza kuleta mabadiliko kwa demokrasia ya Tanzania huoni kuwa ni ndoto za mchana? Kwani hao Idu hawajulikani kwa watanzania kuwa ni vibaraka wa mabebeberu? Nani hapa Tanzania atakubali swaga zao za kisiasa?

My opinion, mwaka 2021 umeanza watanzania wanahitaji upinzani utaokuwa na positive results kwa maendeleo yao. Sio mtu yuko Ubelgiji anakula bata alafu analeta porojo za kisiasa.
Jiwe alijiidai kupambana na ufisadi, CAG Assad alipomuonyesha ufisadi
wa Tril. 2.4 akamfukuzaa
 
Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,442
2,000
Huna hoja zaidi ya kuwa mshabiki wa domo TL.
Post yenyewe haina hoja zaidi ya umbea na unafiki wa kijinga.

Kama Umeshindwa kumuelewa TL akiwa hapo nchini miaka yote hajawa mbunge hadi kawa mbunge. Utaweza wapi kumuelewa akiwa nje ya nchi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom