Pamoja na mbwembwe zote LATRA hawajafikia ubora wa Scandinavia Bus sekta ya usafiri wa abiria!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu maboresho yanayofanywa na LATRA kwenye sekta ya usafiri wa abiria lakini sijaona Jipya.

Nikikumbuka kampuni yangu pendwa ya mabasi ya Scandinavia naona viwango walivyovifikia wakati wanafunga kampuni bado havijafikiwa na hawa Latra.

Mambo ya online booking na ticketing walishakuwa nayo achilia mbali vikorombwezo vingine kedekede safarini ikiwemo viburudisho na magazeti.

Bus ziliondoka kwa muda sahihi na hapakuwepo usumbufu wowote safarini.

Maendeleo hayana vyama!
 
Jamaa unapenda kuanzisha nyuzi sana!Wakati mwingine ni hoja nyepesi kabisa!Sasa kweli unafananisha mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa ardhini na Kampuni moja ya basi, kweli?

Sijui hata ulitaka kusemaje hapa? Ndio madhara ya kutaka uandike wewe kila mara,unaishia kutoa mvuke tu!
 
Scandinavia ilifanya vizuri sababu allikuwa na meneja uendeshaji mzungu mwenye uzoefu toka ulaya .Mkataba ulipoisha akaondoka akapewa mswahili kampuni ikaanza kuyumba.

Tatizo la kampuni zetu sio wamiliki hasa. Wamiliki wanajitahidi mno kutafuta mitaji lakini menejimenti zinawangusha haziko competent nafikiri kuboresha serikali iwe inaruhusu tu na kushauri private sector wakiona wanakwama waajiri toka nje.
 
Scandinavia ilifanya vizuri sababu allikuwa na meneja uendeshaji mzungu mwenye uzoefu toka ulaya .Mkataba ulipoisha akaondoka akapewa mswahili kampuni ikaanza kuyumba

Tatizo la kampuni zetu sio wamiliki hasa
Wamiliki wanajitahidi mno kutafuta mitaji lakini menejimenti zinawangusha haziko competent nafikiri kuboresha serikali iwe inaruhusu tu na kushauri private sector wakiona wanakwama waajiri toka nje
Scandinavia haikuwa na mzungu yoyote. Kina Sumaye ndio walioiua Scandinavia
 
Hili halikuwa na mpinzani

download.jpg

lakini hata uda enzi za Ikarus nayo yalipeta
remonty_ikarus1.jpg
 
Scandinavia haikuwa na mzungu yoyote. Kina Sumaye ndio walioiua Scandinavia
Angeuaje wakati hayuko kwenye management na kampuni inatengeneza faida sio loss? Mzungu alikuwepo wakaja na standard za mabasi za European union wakaleta kuanzia tikcketing software hadi manager ndilo basi la kwanza kuwa na wahudumu na madereva wasafi kuanzia kukata tiketi hadi kwenye mabasi
 
Tatizo la kampuni zetu sio wamiliki hasa
Wamiliki wanajitahidi mno kutafuta mitaji lakini menejimenti zinawangusha haziko competent nafikiri kuboresha serikali iwe inaruhusu tu na kushauri private sector wakiona wanakwama waajiri toka nje
Mara nyingi waajiri Hawa Wana heshimu sana maamuzi ya mameneja wazungu.
Wanakubali bajeti zinazopangwa na meneja wazungu na kuidhinisha malipo kwa wakati kama fedha zilivyo ombwa na meneja.

Wakiajiri meneja mswahili wanawasikiliza tofauti kidogo.

Pia meneja waswahili tabia za kubebana na kutengeneza makundi kisha ufanisi unashuka.
 
Mzungu alikuwepo nilikuwa namkuta sana kule kwenye kutuma fedha na vifurushi!
Katika suala la uongozi na usimamizi wa mambo, mzungu ni best.
Sisi waafrika tunawezakufanya kazi nyuma yao vizuri tuu
Hata Uongozi wa nchi, kama tutampa Uraisi Mzungu leo na Magu awe chiniyake basi utaona mabadiliko makubwa na ukata utaondoka na Tanzania itageuka kuwa nchi ya dunia ya kwanza mara moja.

Sisi Afrika suala la Utawala si letu.
 
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu maboresho yanayofanywa na Latra kwenye sekta ya usafiri wa abiria lakini sijaona Jipya.

Nikikumbuka kampuni yangu pendwa ya mabasi ya Scandinavia naona viwango walivyovifikia wakati wanafunga kampuni bado havijafikiwa na hawa Latra.

Mambo ya online booking na ticketing walishakuwa nayo achilia mbali vikorombwezo vingine kedekede safarini ikiwemo viburudisho na magazeti.

Bus ziliondoka kwa muda sahihi na hapakuwepo usumbufu wowote safarini.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa taarifa yako tu, LATRA siyo kampu I ya mabasi na haina mabasi, LATRA ni mamlaka inayosimamia uchukuzi nchi kavu, kutokana na kutokuwa na mabasi haiwezi kugawa vinywaji, vitafunwa, magazeti na hata kuondoka kwa wakati.
Wewe ni mmoja wa wanaobebwa sana na Moderators ndiyo sababu Post zako zinabaki kwenye kurasa zisizohusika wala haziunganishwi.
 
Katika suala la uongozi na usimamizi wa mambo, mzungu ni best.
Sisi waafrika tunawezakufanya kazi nyuma yao vizuri tuu
Hata Uongozi wa nchi, kama tutampa Uraisi Mzungu leo na Magu awe chiniyake basi utaona mabadiliko makubwa na ukata utaondoka na Tanzania itageuka kuwa nchi ya dunia ya kwanza mara moja.

Sisi Afrika suala la Utawala si letu.
Mzungu ka-graduate MIT Siloan School of Management wewe uliyekulia kisamvu utashindana naye? Always upeo wako utakuwa wa kisamvu kisamvu tu nothing else.
 
Jamaa unapenda kuanzisha nyuzi sana!Wakati mwingine ni hoja nyepesi kabisa!Sasa kweli unafananisha mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa ardhini na Kampuni moja ya basi,kweli?
Sijui hata ulitaka kusemaje hapa?Ndio madhara ya kutaka uandike wewe kila mara,unaishia kutoa mvuke tu!
Kwamba huo mfumo wa online ticketing scandnavia wakishakuwa nao miaka yake 2000 huko ... Leo LATRA ndio wanauintroduce miaka 21 mbele!!?? Hauoni hoja yake bado !!???
 
Kwa taarifa yako tu, LATRA siyo kampu I ya mabasi na haina mabasi, LATRA ni mamlaka inayosimamia uchukuzi nchi kavu, kutokana na kutokuwa na mabasi haiwezi kugawa vinywaji, vitafunwa, magazeti na hata kuondoka kwa wakati.
Hoja yake ni kwamba LATRA ndiye regulator wa usafiri wa ardhini; je, itaweza ku-regulate usafiri wa mabasi ufikie kiwango japo cha Scandinavia?
 
Back
Top Bottom