JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA
TAARIFA KWA UMMA
Januari 6, 2021
TAKUKURU KAGERA YAOKOA WIZI WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU MALI YA MFUKO WA...
Wakati bado wananchi wakiona posho hiyo ni kubwa mno na wengine kuiona ni sawa, wabunge wa bunge la katiba wameamua kuweka wazi kuwa posho hiyo ni ndogo kwao, haiwatoshi na haiendani na hadhi yao...
Kabla ya kujadili mada husika napenda kuwakumbusha wadau kuwa utawala wa kidikteta huwa unakuwa na sifa kubwa mbili, kwaza hakuna demokrasia hii ni sababu hakuna uchaguzi. Maana wanaotawala...
Wakti wa uzinduzi ujenzi wa Barabara ya New Bagamoyo JK aliendelea kuishutumu Wizara ya Ujenzi kwa kusema hadharani kwamba:- Wananchi kujenga kwenye Hifadhi ya Barabara ni Uzembe wa Wizara na...
Tanzania: Electricity Generation Slightly Declines - allAfrica.com
Credit: Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
ELECTRICITY generated and distributed declined by 4.0 per cent to a cumulative...
Wazee nimesikia kwenye taarifa ya habari usiku huu kupitia RFA kwamba Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesitisha ubomoaji wa majengo yaliyojengwa ndani ya hifadhi ya barabara nchini kote.
Najua...
Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na...
Mchakato wa kufanya manunuzi ya mali umma zipo wazi.
Kwa upande wa Halmashauri ni wazi kuwa lazima Baraza la Halmashauri husika likae na kupitisha matumizi pia kibali kutoka kwa wenye mamlaka...
Nikiangalia kwa aina ya viongozi tulio nao wakati huu, ni uwazi kuwa wengi hawajiamini katika kutekeleza majukumu yao, wamejawa na uoga mwingi tena wasio jiamini.
Na kwa kuwa sasa ni Tanzania ya...
Na kinyume na wale wanaosema alikuwa haambiliki, si kweli. Alikuwa anakasirika kama mtu mwingine yeyote yule na aliweza kukufokea. Na wakati fulani alikuwa amemteua mtu katika nafasi fulani. Mimi...
Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa.
Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa...
Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.
Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na...
Hili neno CCM YA KIJANI lilianza kutumika rasmi kwa mara ya kwanza baada ya uchaguzi wa 2015 wakati CCM ikishuhudia kichapo kikali kutoka upinzani ambacho hakijawai tokea tangia kuasisiwa kwa...
Viongozi na Watendaji wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) na watendaji wa Mahakama nchini wametakiwa kupima mafanikio ya utendaji wao kwa kutumia nafasi walizonazo kuhakikisha uamuzi...
China yachangia Milioni 358 kwa ujenzi wa Chuo cha Veta cha Chato
Waziri wa Mambo ya Nje ya China, Wang Yi ambaye amepokelewa leo Uwanja wa Ndege wa Chato amesema China itaendelea kushirikiana na...
HISTORIA YA MWIGULU YAFAA KUWA HAMASA KWA VIJANA.
Na Mohamed Ismail Rwabukoba.
Kila zama na zama zake, Kipindi sera za ujamaa zikitelezeka chini ya utawala wa mwl Nyerere 1975 alizaliwa kijana...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameshauri kuundwa kamati maalumu itakayowashirikisha wadau mbalimbali ili kulitafutia ufumbuzi tatizo la udhalilishaji wa kijinsia lililokithiri katika jamii...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu.
Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania...
Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi...
Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi wa ajira visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.