Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo waweza kurejea rasmi hivi karibuni

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ambao wafuasi wa Chama cha Lumumba walidai ni wa kinyonyaji unatarajiwa kurejea rasmi. Sasa Bagamoyo kuwa kama Dubai.

========

Discussions are ongoing to get the China-backed US$10 billion Bagamoyo Port project in Tanzania, which was “suspended indefinitely” by the east African nation’s president because of disagreements over the terms, back on track, its ambassador to Beijing said on Thursday.

The troubled project was “not off the table” and the remaining issues could be sorted after consultations between the Tanzanian government and investor China Merchants Port Holdings, Mbelwa Kairuki told reporters during a visit to Hong Kong.

Of the 29 issues still to be resolved, four might require parliamentary action – such as formulating a legal mechanism for the operation of the special economic zone alongside the port – he said.

“The Bagamoyo project is, there’s a negotiation, which [is] ongoing between the government and the investor,” Kairuki said. “Some of the issues that the investor is proposing don’t make sense, but we hope that through engagement … we will get to understand better.

“The good thing is the investor is ready to engage, and the government is willing to as well.”

The envoy’s remarks came after Tanzanian President John Magufuli last month rejected the conditions of the deal for the project, which is being developed under China’s Belt and Road Initiative and is intended to be Africa’s largest deep water port.

Magufuli described the terms – which include long tax breaks for investors in the special economic zone, halting the expansion of other ports and the loss of some sovereignty – as “exploitative and awkward”, according to a report published by Tanzanian newspaper, The Citizen.

China Merchants Port Holdings did not respond to a request for comment.

Beijing has steadily increased its investments and trade with African countries in recent years. Chinese investments in Tanzania topped US$7 billion in 2018 while trade between the two countries was US$3.98 billion, according to Xinhua.

But that increase in funding has led to charges, including from the US, that Beijing is using its belt and road plan to gain political leverage in Africa by saddling developing nations with debts they cannot repay. The projects have also been criticised for their lack of transparency, feasibility and sustainability.

But Kairuki hit back at accusations made by “Western media” that the Bagamoyo Port project was a debt trap.

“They are talking about a debt trap – you know, this is pure investment,” he said. “This is investors bringing capital. The government is not bringing a single cent. So how can it be a debt trap? Maybe an investment trap. And what’s wrong with investment? Investment brings jobs, it brings capital, it brings technology, it brings everything.”

Other Chinese projects in Tanzania include the expansion of Dar es Salaam port in the country’s capital and a railway from Dar es Salaam to Rwanda, Burundi and Congo.

Kairuki was speaking at Hong Kong Polytechnic University, where faculty members and local businesspeople met to discuss an upcoming trip to Tanzania to explore investment opportunities there.

“The Chinese are welcome,” the ambassador said. “Chinese enterprises that have invested in Tanzania have created over 100,000 jobs. They are employing local people, they are transferring technology.”

Although there had been cases of individuals violating the law, that should “not be the basis for defining the relationship between China and Tanzania, or China and Africa for that matter”, Kairuki said.

uzuri ni kwamba hakuna mikataba ya karl Peter na Mangungo na majadiliano yataanza upya. mtaabika sana kwaRais Magufuli kutaka cheap politics hata kwenye masuala ya msingi

..tatizo huwa mnabana halafu mnapanua pakubwa.

..mfano ni yale makelele ya madai ya usd 191 billion halafu mnakuja kukubali usd 300 million.
 
Ulikuwemo bungeni wakati mradi huo unapitishwa. Uligonga meza kupiga ukelele ndiyoooooooo. Halafu sasa ndiyo unataka kutuzuga Watanzania kwamba tumechezewa mno! Kama vile hukuwemo Bungeni wakati. Bunge linaupitisha mradi huo. UNAFIKI uliokubuhu.

Kubwa la waongo katika ubora wake. Kuyasema maovu ya wenzie rahisi sana lakini maovu yake kuyasema anakuwa DOMO ZEGE. 😳😳😳

  • Kukataa dili la Bagamoyo ilikuwa ni Strategic mistake.
  • Ile ni direct foreign investment, siyo mkopo!!!. Tungekuwa wa ajabu sana kukataa midola inayoingia nchini.
  • Utakataaje kwa mfano mradi ambao unaambatana na viwanda 190?
  • Utakataaje kuifanya Tanzania kuwa hub ya mzigo, yaani badala ya wamalawi , wazambia, wacongo kupanda ndege kwenda kuufuata mzigo Guanzhou, mzigo wanaukuta hapo bagamoyo, ina maana trickle down effect tulikuwa hatuioni?
  • Bandari ya Bagamoyo itasiaidia kuilisha SGR mzigo wa kutosha na hivyo reli yetu inayojengwa itatumika effectively ina maana hilo tulikuwa hatulioni?
  • Kuweka dhamana ya ardhi kwa miaka 33 au hata 66 kwa nchi ni kitu kidogo, Nyerere kaondoka madarakani mwaka 1985, ni miaka 34 tayari si ni kama jana tu?
  • Tusiwe waoga, mchina lengo lake wala siyo kutuibia biashara yetu ya bandari ya Dar, maana mapato ya bandari ya Dar kwa mwaka mzima ni vjisenti tu kwa utajiri aliokuwa nao mchina. Mchina anataka bandari ya bagamoyo ili aitumie kama Lango la kuingia Afrika kibiashara, kwetu sisi ni Golden Chance kuwa geti hilo, maana Manufaa yatakoyotokana na hilo ni makubwa zaidi
  • TUKILIKATAA DILI HILO, MCHINA YUKO DETERMINED KUFANYA BIASHARA NA AFRIKA, ATKAKWENDA KUJENGA BANDARI HIYO MSUMBIJI AU HATA DJIBOUTI NA TUTKUWA TUMEJIKOSESHA DILI LA CENTURY!!
  • Naishauri Serikali isiliache dili hili, Hichi Kibandari cha Dar es salaam kilichojengwa na mkoloni ndo kimeshafikia kikomo, kinaweza kutuingizia vihela vya mboga, Lakini kama tunataka Kitu cha Uhakika hata kama itakuja kumilikiwa nasi 100% miaka 30 ijayo hatuna budi kujenga Bandari kubwa ya Kisasa ambayo Matanker Makubwa yenye uwezo wa kubeba mafuta hata Lita Milioni Moja yanaweza kutia nanga, nchi inakua hii na population inaongezeka , baadae tutahitaji volume ya mzigo mkubwa zaidi!
  • Kwa uchumi wetu huu ni kujidanganya kuwa ndani ya miaka 30 tutakuwa na hela ya kujenga bandari yetu wenyewe kwa fedha za ndani, na tukisema tukope World bank Dola bilion 10 (Trilion 23) kujenga sijui bandari ya Tanga au Kilwa au sijui wapi tutakula nyasi
 
Nataka kujua wachangiaji wa humu ambao wanasema tusichukue mikopo china tutakuwa kama baadhi ya nchi zilizochukuliwa vitega uchumi vyao, wajiweke side A,

na wale wanaosema hata kwa hasala na mashariti mabaya ya muwekezaji ilimladi imejengwa hiyo bandari wawe side B

na wale wa leo wako A kesho wako B nao wajiweke C

na wale wasiopenda kujilizisha na vyanzo vya taarifa kabla ya kuchangia na wanakuwa na ushahidi kama wao ndi vyanzo nanyi kaeni D

na sie tunaopenda kuzodoa hata kama mtu yupo sahihi nasi tukae E,

kisha tuchangie kwa uhuru,
 
Ushauri kwa wasomaji na wachangiaji, kuna taarifa ilitolewa na watendaji wa kituo cha uwekezaji kuwa endapo wachina watapunguza masharti na kukubali mapendekezo ya upande wa serikari, basi mazungumzo yataendelea,
sasa nadhani pia hao wachina wamepunguza ndo maana mazungumzo yanaanza tena, kwa hiyo tusubili watakapofika mwisho tuwahoji kama kuna mabadiliko au ni yale ya kwanza? Kisha tutoe mbwembwe zetu.
 
Mbaya zaidi hujui kama kuna corrections zinafanyika kabla ya kurejerea mradi,
Unakurupuka kifala !
 
African nation's President?
Hiki cheo wamekitoa wapi?
Mkuu Bora umeona Hilo Kuna wachangiaji humu hawajafikiria hata hili unalojiuliza! Hiyo kituimetengenezwa na wajanja ndiyo maana unaona mapungufu hayo lengo lao kubwa Raisi aonekane muongo kwa kile alichokisema kuhusu bandari hiyo kipindi anaongea na Wafanyabiashara
 
  • Kukataa dili la Bagamoyo ilikuwa ni Strategic mistake.
  • Ile ni direct foreign investment, siyo mkopo!!!. Tungekuwa wa ajabu sana kukataa midola inayoingia nchini.
  • Utakataaje kwa mfano mradi ambao unaambatana na viwanda 190?
  • Utakataaje kuifanya Tanzania kuwa hub ya mzigo, yaani badala ya wamalawi , wazambia, wacongo kupanda ndege kwenda kuufuata mzigo Guanzhou, mzigo wanaukuta hapo bagamoyo, ina maana trickle down effect tulikuwa hatuioni?
  • Bandari ya Bagamoyo itasiaidia kuilisha SGR mzigo wa kutosha na hivyo reli yetu inayojengwa itatumika effectively ina maana hilo tulikuwa hatulioni?
  • Kuweka dhamana ya ardhi kwa miaka 33 au hata 66 kwa nchi ni kitu kidogo, Nyerere kaondoka madarakani mwaka 1985, ni miaka 34 tayari si ni kama jana tu?
  • Tusiwe waoga, mchina lengo lake wala siyo kutuibia biashara yetu ya bandari ya Dar, maana mapato ya bandari ya Dar kwa mwaka mzima ni vjisenti tu kwa utajiri aliokuwa nao mchina. Mchina anataka bandari ya bagamoyo ili aitumie kama Lango la kuingia Afrika kibiashara, kwetu sisi ni Golden Chance kuwa geti hilo, maana Manufaa yatakoyotokana na hilo ni makubwa zaidi
  • TUKILIKATAA DILI HILO, MCHINA YUKO DETERMINED KUFANYA BIASHARA NA AFRIKA, ATKAKWENDA KUJENGA BANDARI HIYO MSUMBIJI AU HATA DJIBOUTI NA TUTKUWA TUMEJIKOSESHA DILI LA CENTURY!!
  • Naishauri Serikali isiliache dili hili, Hichi Kibandari cha Dar es salaam kilichojengwa na mkoloni ndo kimeshafikia kikomo, kinaweza kutuingizia vihela vya mboga, Lakini kama tunataka Kitu cha Uhakika hata kama itakuja kumilikiwa nasi 100% miaka 30 ijayo hatuna budi kujenga Bandari kubwa ya Kisasa ambayo Matanker Makubwa yenye uwezo wa kubeba mafuta hata Lita Milioni Moja yanaweza kutia nanga, nchi inakua hii na population inaongezeka , baadae tutahitaji volume ya mzigo mkubwa zaidi!
  • Kwa uchumi wetu huu ni kujidanganya kuwa ndani ya miaka 30 tutakuwa na hela ya kujenga bandari yetu wenyewe kwa fedha za ndani, na tukisema tukope World bank Dola bilion 10 (Trilion 23) kujenga sijui bandari ya Tanga au Kilwa au sijui wapi tutakula nyasi
Mambo ni mazito kuliko hii insha umeandika, usichukulie poa kisa ni FDI
 
Back
Top Bottom