Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.

Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola.

Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na Serikali au ni wahuni wachache? Kwanini Dola itumike wakati ukipatikana na dola hata kidogo unapigwa money laundering na uhujumu uchumi?

Mikoani kusikokuwa na dola wananchi watafanyaje?

This is shameful
 
Halafu Mungu wa CCM na hawa vilaza amenyamaza kimyaaaa ili watu wake waumie kupitia watendaji wake maana walikuwa wakiitwa na diamond kwenye kampeni yani walijaa kwenye muziki hii ni zamu yake kuwanyoosha.
 
102011131.jpg
 
Wanakusanya waonyeshe zile walizokwiba wajifanye hizi hapa hatujagusa kumbe .......wamegawana daaaa wamepiga ndefu sana
 
Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.

Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola.

Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na Serikali au ni wahuni wachache? Kwanini Dola itumike wakati ukipatikana na dola hata kidogo unapigwa money laundering na uhujumu uchumi?

Mikoani kusikokuwa na dola wananchi watafanyaje?

This is shameful
Uchumi wa kati. Mbona mnakimbilia dola? Hela yanu wenyewe ya Tshs mnaiona makapi? #Sad

Jibu la uhakika: SGR, Flyovers, hydro electric stations wanaozijenga wanataka kulipwa in USD. Ndio mpango wenyewe.
 
Hii ni Aina mpya ya Kodi...maana Kila taasisi ni Kama imewekewa lengo la kukusanya.
 
NCHI INA UHABA WA FEDHA ZA KIGENI SUBIRI TUZIKUSANYE.

ZILE TULIZONYANG'ANYA KWENYE MADUKA YA KUBADILISHIA FEDHA KIPINDI KILE ZIMEISHA.
 
Kama unaua sekta binafsi ikuleteayo dola haya ndo madhara yake, tunakusanya Hadi kwa visivyokusanyika.
Badala ya kuchochea uzalishaji Ili export ikue upate pesa za kigeni eti unauwa sekta binafsi kwamba ni wapiga dili lzm waishi kishetani,wakishaishi kishetani what next, umepata faida gani,Hali we ni mpitaji,kesho haupo anakuja mwingine anayacha yako anakuja na yake,then unajikuta umeukimbiza tu upepo.
Tumuombee adui aishi miaka mingi Ili aje ashuhudie tukiishi kimalaika pale atakapokuwa mpenzi mtazamaji na sio mchezaji
 
Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.

Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola.

Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na Serikali au ni wahuni wachache? Kwanini Dola itumike wakati ukipatikana na dola hata kidogo unapigwa money laundering na uhujumu uchumi?

Mikoani kusikokuwa na dola wananchi watafanyaje?

This is shameful

Falsafa za ujamaa wakati mwingine upingana.
Kukutwa na dola ni uhujumu uchumi,Bali malipo kwa dola.
So kwenda kenya,au zambia ni lzm ulipie 231000 covid test.Gharama za kupima ni kubwa mara tatu ya nauli ya dar nairobi
 
Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani.

Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola.

Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na Serikali au ni wahuni wachache? Kwanini Dola itumike wakati ukipatikana na dola hata kidogo unapigwa money laundering na uhujumu uchumi?

Mikoani kusikokuwa na dola wananchi watafanyaje?

This is shameful
Mabeberu yana nguvu sana,wewe yasikie tu.
 
Back
Top Bottom