Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya ardhi atenguliwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,874
1610891585458.png
 
Kuteua na kutengua siku za jumapili sio sifa
Inaonesha udhaifu wa mipangilio....
Je Moto ukiwaka week end, mimi zimamoto nisizime kwa kusubiri mapaumziko yaishe?! Nadhani hii inabidi liagaliwe kwa upana inategemea kosa limefanyika lini, madhara yake yakoje nk. Mtumishi wa umma yuko kazini siku 365/ majuma 52/ miezi 12/ siku 7/masaa 24. Naomba tu mtoa maada tusaidiane tatizo likitokea week end suruhisho lisubiri?!
 
Kuteua na kutengua siku za jumapili sio sifa
Inaonesha udhaifu wa mipangilio
Kama wewe huheshimu utaratibu wa kupumzika ..
Heshimu Kwa wengine..

Acha watu wapumzike..
Kesho unaendelea na teua na tengua zako
Niwaza kama wewe kwani kesho haifiki??
 
Kuteua na kutengua siku za jumapili sio sifa
Inaonesha udhaifu wa mipangilio
Kama wewe huheshimu utaratibu wa kupumzika ..
Heshimu Kwa wengine..

Acha watu wapumzike..
Kesho unaendelea na teua na tengua zako
Serikali haina dini wala mapumziko, ndo maana police, madaktari na manesi wanafanya kazi 24/7
 
Mi nilifikiri hii ya Uchaguzi - hivi kuna tume ngapi hapa nchini? lah
 
Back
Top Bottom