Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

Miccm mtakufa kama kuku wenye kideri,mtapukutika kuliko maelezo yaani kama ni maajabu ya korona Tanzania basi na maajabu ya kupukutika kwa washindi waliopokea ushindi wa uwongo na kuukubali na kufikia kuapa ,vifo vinavyofuatana vipo njiani na mbali ya vilivyokwisha anza juu waliotangazwa washindi, CCM mbele ya Mwenyezi Mungu hamna pa kukimbilia tuone kama hio tume itaweza kuwalinda na umauti ulioanza kuwaandama maana imewalinda msishindwe na kuwapa ushindi,ila kwa hili mtapukutika kama kuku wanavyokufa wakivamiwa na kideri.
 
Miccm mtakufa kama kuku wenye kideri,mtapukutika kuliko maelezo yaani kama ni maajabu ya korona Tanzania basi na maajabu ya kupukutika kwa washindi waliopokea ushindi wa uwongo na kuukubali na kufikia kuapa ,vifo vinavyofuatana vipo njiani na mbali ya vilivyokwisha anza juu waliotangazwa washindi,
CCM mbele ya Mwenyezi Mungu hamna pa kukimbilia tuone kama hio tume itaweza kuwalinda na umauti ulioanza kuwaandama maana imewalinda msishindwe na kuwapa ushindi,ila kwa hili mtapukutika kama kuku wanavyokufa wakivamiwa na kideri.
Ni kama Mbowe tu ,unaangushwa na konyagi alafu unasingizia wasiojulikana, Lema na Nyalandu wamekimbizwa na madeni alafu wanasingizia wanataka kutekwa na Serikali.!
 
Miccm mtakufa kama kuku wenye kideri,mtapukutika kuliko maelezo yaani kama ni maajabu ya korona Tanzania basi na maajabu ya kupukutika kwa washindi waliopokea ushindi wa uwongo na kuukubali na kufikia kuapa ,vifo vinavyofuatana vipo njiani na mbali ya vilivyokwisha anza juu waliotangazwa washindi,
CCM mbele ya Mwenyezi Mungu hamna pa kukimbilia tuone kama hio tume itaweza kuwalinda na umauti ulioanza kuwaandama maana imewalinda msishindwe na kuwapa ushindi,ila kwa hili mtapukutika kama kuku wanavyokufa wakivamiwa na kideri.
Na wewe ni GT?!
 
Hakuna profesa hapo, ni mlamba viatu asiye na chembe ya heshima!
Ila alipokuja kuhutubu wakati wa mchakato wa katiba mpya alikuwa genius na mwanamapinduzi anayeheshimika Afrika. Wakati ule aliikosoa CCM. Leo hii anaipongeza CCM, Watanzania na rais wao JPM amekuwa sio profesa tena na mllamba viatu. Tabia ile ile ya kupinga kila kitu na mtu anayeisapoti serikali au JPM.
 
Mtu wa fursa huyo, anaangalia upepo unavuma kuelekea wapi
 
Miccm mtakufa kama kuku wenye kideri,mtapukutika kuliko maelezo yaani kama ni maajabu ya korona Tanzania basi na maajabu ya kupukutika kwa washindi waliopokea ushindi wa uwongo na kuukubali na kufikia kuapa ,vifo vinavyofuatana vipo njiani na mbali ya vilivyokwisha anza juu waliotangazwa washindi,
CCM mbele ya Mwenyezi Mungu hamna pa kukimbilia tuone kama hio tume itaweza kuwalinda na umauti ulioanza kuwaandama maana imewalinda msishindwe na kuwapa ushindi,ila kwa hili mtapukutika kama kuku wanavyokufa wakivamiwa na kideri.
Unajadiri kitu Kilicho nje wa uwezo wako!!! Tuliza akiri Maana uspofanya hivyo, utakuja kugundua kuwa unasiku moja kitaani baada ya kukaa milembe miezi Mingi kurudishiwa uwezo wako wa akili ndoogo uliyonayo

Mawazo husababisha ukichaa
 
Ila alipokuja kuhutubu wakati wa mchakato wa katiba mpya alikuwa genius na mwanamapinduzi anayeheshimika Afrika. Wakati ule aliikosoa CCM. Leo hii anaipongeza CCM, Watanzania na rais wao JPM amekuwa sio profesa tena na mllamba viatu. Tabia ile ile ya kupinga kila kitu na mtu anayeisapoti serikali au JPM.
Yeye anapenda siasa lakini si za kiongozi aliyetumika kuja kuwakilisha kutoka ulaya.
 
07 November 2020
Nairobi, Kenya

There Is No Single Pan-African President In Africa Now - PLO LUMUMBA

7 Nov 2020
The Image of Africa has been distorted around the globe and we are changing the narratives via Youtube videos One Country At Time.

Until the history of Africa is told by Africans, the story of greatness will always glorify the imperialists.!It's Time For Africans To Unite, Embrace their Culture and be Proud of their Roots & Tell Their Own Story!-AFRICA TO THE WORLD..
Source : Wode Maya
 
Back
Top Bottom