Uwazi wa kila shilingi ya Watanzania

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
7,277
13,922
Habari zenu wanasiasa.

Natamani huu mfumo mpya Wa GePG uwe Wazima kwa Watanzania wote. Yaani hata ukigongewa mhuri mahakamani ukilipa 500 inaonekana kwa website Fulani ama kwa TBC kila muda na maelekezo ya hiyo Hela imekusanywa wapi.

Mara traffic akampiga konda buku 5 ionekane ilikopatikana na inavyotumika Mara huyu kiongozi kahonga hawara yake.

Nadhani tutakuwa nchi ya kuigwa duniani na sie tutakuwa na kiburi cha kutembea kifua mbele.

Yaani kila shilingi inapatikanaje na inatumikaje kule TBC ama website maalumu tunaona hela zetu nina imani tutakuwa na kiburi na jeuri ya kulia mapato.

Pia uwepo mfumo maamuzi Fulani kama Taiga tunapiga kura mana tutamalizana wote kwa NIDA.MTU Anaingia kwa simu yake anasema huo mktaba hauko sawa na maoni yake yanaonekana hewani kwa wengine.

Kama ishu Fulani Umepata kura nyingi ndo inafanyika. Yaani hata raisi atasema kuwa umeona wananchi Wangu wamekataa kuwa tusisaini huu mktaba mana hauna maslahi kwao na hakuna faida kwa kizazi chao miaka 500 ijayo.

Na sio nchi kubwa hivi jamani MTU anaamua kwa utaishi wake ama jinsi alivyonyonywa plumb na beibi wake akamshinikisha kuwa Fanya hivi dia.

Mana tumepata raisi mwenye nia nzuri na nchi yetu na Sie wote ikiwekazana hata mchakato mpya Wa katiba ufanyike digitally tuchangie maoni yetu wote. Makampuni ya simu yafanye hizo SMS ziwe free kwa wote mpaka vijijini pia.

Nchi ni kubwa Sana tena sana afu watu ni wengi sana ila wanafanyiwa maaumuzi na kikundi cha watu wasiozidi 10 jamani.

Hii kitu tuipigie kelele ama haina maslahi kwao jamani.

Tuonyeshwe mishahara ya watumishi wote serikalini yaani wanaolipwa na Hela zetu jamani na Hela tuliyokusanya na madeni mana Tanzania haina tofauti na kampuni na Sie ndo wenye share zao na hakuna wengine.

Na sio kila mfumo tuige kwa wazungu as if wao ndo so unit
 
dia.

Mana tumepata raisi mwenye nia nzuri na nchi yetu na Sie wote ikiwekazana hata mchakato mpya Wa katiba ufanyike digitally tuchangie maoni yetu wote. Makampuni ya simu yafanye hizo SMS ziwe free kwa wote mpaka vijijini pia.
Kweli?! Wakati huo mchakato wa katiba mpya wala hataki kusikia. Watanzania tumezoea hovyo hovyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom