Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya...
6 Reactions
151 Replies
12K Views
Serikali imejipanga vizuri katika kuhakikisha inakamilisha utekelezaji wa vipaumbele vyote ambavyo havikukamilika katika kipindi kilichopita sambamba na kusimamia ipasavyo maeneo mapya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri zote nchini kutenga bajeti kwa kutumia mapato yao ya ndani kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa ulioanzishwa na wananchi kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza Watumishi wa Halmashauri ambao wametakiwa kuhamia makazi mapya na hawajafanya hivyo kuondoka mara moja. Amesema "Kipindi cha kuondoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. ===== Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza...
2 Reactions
104 Replies
12K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye baada ya takriban miaka 10 iliyopita Jiji la Mbeya limeamua kujenga City Mall ya kisasa pale sehemu inaitwa "Uhindini". Sehemu hii katikati ya Jiji kulikuwa na soko na vibanda vya...
6 Reactions
48 Replies
10K Views
Kauli ya Baba Askofu Rev.Dr.Stephen Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, baada ya Naibu Spika kushiriki igizo la kuizika Chadema. ______________ Naibu Spika (Dr.Tulia Ackson)...
46 Reactions
317 Replies
40K Views
Mabibi na mabwana na tuambizane ukweli tu, kwani haisaidii kuukimbia ukweli. Pia msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Hongera Dar kwa kuanza kutupia barakoa kujaribu kujihami na kuwahami wengine japo...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Prof. Mchembe amesema serikali imepiga marufuku hispital binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Prof. Mchembe amesema ameona kwenye mitandao baadhi ya hospital zimeongeza...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
My take: Excuse my French and pardon my vernacular, Thabo Mbeki knows his ‘shit’. I tip my hat off to him. To get what I’m talking about, watch the video of him reflecting on the passing of our...
16 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika nchi za Afrika Mashariki, inaonesha kuwa ni Burundi na Tanzania pekee ndiyo hazina virusi vya korona na kwa hiyo hawahitaji chanjo ya COVID 19. HOFU na WOGA ni roho za kuzimu na infact...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu Waziri wa Afya, naomba kukuuliza MASWALI matatu tu ili nisikuchoshe. Nikiwa mwananchi wa nchi hii ninahitaji majibu sahihi kutoka kwako tena yawe ya kitaalamu na si ya kisiasa: 1) Je...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea. Lakini kwenye pesa...
11 Reactions
125 Replies
16K Views
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote. Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na...
35 Reactions
118 Replies
10K Views
Tukubali ama tukatae, ukweli ni kwamba, CHADEMA haikuliangalia suala hili la kina Mdee na wenzake Kwa umakini kama chama Hoja ya kina Mdee ni kwamba! waliapa kulitumikia Taifa kama wabunge wa...
6 Reactions
131 Replies
9K Views
WAANDISHI WA HABARI NA WADAU WAASWA KUSHIRIKI KATIKA UTOAJI WA TAARIFA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza imewataka waandishi wa habari na wadau kushiriki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
VIONGOZI WA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUWATHAMINI WATUMISHI WA CHINI Na. Catherine Sungura, WAMJW Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa (RRH) nchini wametakiwa kusimama katika nafasi zao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box...
29 Reactions
102 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…