Wakuu,
Mikoa ifuatayo haikugawanywa kwa kuzingatia Jiografia rafiki kwa uendeshaji wenye ufanisi na tija.
1. Arusha kupata mkoa wa Manyara: ingefaa usianzishwe mkoa wa Manyara badala yake wilaya...
Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia.
Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui...
Leo Rais wetu wa JMT amehudhuria sherehe za kuadhimisha miaka 100 ya mahakama kuu hapa nchini. Kauli mbiu ya kudhimisha miaka 100 ni kujenga nchi inayozingatia haki, udugu na amani katika kuleta...
Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni.
Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba...
Kiukweli sina mengi isipokuwa kumpongeza mbunge wa viti maalumu jimbo la Kawe kupitia Chadema mh Halima James Mdee kwa kutinga ndani ya ukumbi wa bunge akiwa amevalia barakoa usoni kama tahadhari...
Sirikali ya wanyonge hadi mafuta ya kupikia yamewashinda dumu na ndoo ya lita 20 inakimbilia elfu 90 hadi laki bado mpo tu imewashinda mtaweza nini sasa?
Najiuliza sipati jibu kuna mtu aliwahi...
Hoja yangu ni hii kweli corona ipo na Rais amesema na amekiri.
Lakini kusema sisi ni nchi hatari si kweli maana hakuna anaweza kuficha vifo vya watu wote, tupo hapa tunatembea na tuna ndugu zetu...
Ukweli ni kwamba, nchi zetu hizi zinazoendelea, hasa hizi za Afrika, hazipigi hatua kubwa kimaendeleo na kuondokana na umasikini kutokana na mambo kama rushwa, ubinafsi wa viongozi, kukosekana kwa...
Kama uliwaza sherehe urudi bila foleni, leo imekula kwako. Basi zimeanza kuondoka na traffic wameonywa wasiwaguse wala kusimamisha.
Swali: watakuwa wanafanya mgomo mpaka lini?
Update...
Kwanza na-declare Interest mimi ni mpigakura wako pia nina imani kubwa sana kwako na serikali unayoiongoza. Ninaandika hapa kwa kukupa neno dogo la ushauri.
1. Wasaidizi wako hatuwaelewi...
TAARIFA KWA UMMA
PROF. LIPUMBA AENDELEZA ALICHOAHIDI NOVEMBA 2, 2020: AMPA MAKAVU RAIS MAGUFULI KUHUSU KATIBA MPYA:
Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim H. Lipumba ametoa wito kwa...
Sina haja ya kuzungumzia utendaji kazi wa Dkt. Magufuli kwani si Tanzania au Afrika tu, ni dunia nzima, leo kuanzia Latino mpaka Asia na kutoka Yulopa mpaka Amerika wote wanajua kuwa Afrika na...
RC Aboubakar Kunenge amefika katika Shule ya Msingi King'ongo wilayani Ubungo, Dar es Salaam baada ya Rais Magufuli kueleza kukerwa na wanafunzi shuleni hapo kukaa chini. Rais ameagiza...
SERIKALI imepiga marufuku wananchi wa kanda ya ziwa kula nyama ya nguruwe ikiwa ni hatua za kukabiliana na mlipuko wa homa ya nguruwe uliotokea hivi karibuni.
Aidha imewaagiza wakuu wa mikoa...
CUFHABARI NA HABARI ZILIZOBAMBA WIKI HII
Ndugu msomaji wetu karibu tena kwenye Ukurasa wetu huu wa CufHabari ambapo Leo tunakumbushana habari muhimu zilizochukua umuhimu Mkubwa kwenye wiki...
Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini.
Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza.
Rais ametoa...
Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada...
Gts,
Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba.
Wizara ya afya toeni ufafanuzi.
Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.