Baada ya NIMRI kushindwa kugundua dawa ya UKIMWI sasa wameanza kuja na tafiti mbofu mbofu!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,690
2,000
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa eti NIMRI 'walikuwa wako karibuni kugundua' dawa ya UKIMWI mara baada ya mda kidogo mambo yakawa magumu, wakaingia mitini... Wakajichimbia weeee, baadaye tena wakaja na lingine, eti wamegundua chanjo ya Malaria na watu wakajitokeza kwa ajili ya majaribio ya chanjo... Huko nako wakabuma!
Wamekaa tena kufikiria nitoke vipi, sasa wamekuja na hili la ugonjwa wa ZIKA! Kabla hawajabuma tena wamekwaa kisiki cha mfalme na wametumbuliwa.
Poleni sana NIMRI, mlizoea kuishi kiujanja ujanja na kutafuna kodi za wananchi, huku mkituhadaa kuwa mnafanya mambo makubwa kumbe mmelundikana ofisini tu kama wapiga ramli!
Poleni sana...
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,905

Tunaomba CV yako ndio tupeane taarifa, siyo kutukanana hapana kuelimishana juu ya dawa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom