Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,217
Ajabu serikali yetu haionyeshi kujali na kutoa tahadhari za kutosha kwa raia, inaogopa nini?
Wanajua madhara tutakayopata sisi wafanyabiashara na hata wengine tunapotaka kufanya safari zetu nje ya nchi?
Wanajua athari za kiuchumi kwa nchi yetu ugumu huu wa sasa kuwa na maambukizi ya level 4?