TANZIA Mh. Regina Rweyemamu, Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania afariki Dunia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
871
1,000
Rweyemamu.jpg

Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Regina Rweyemamu aliyefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.

Msiba wa Jaji Mstaafu Rweyemamu uko nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es Salaam.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

Taarifa Zaidi kuhusiana na msiba huu zitapatikana baadaye.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
 

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,795
2,000
RIP, Judge Regina. Pole kwa familia yake na wadau wote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom