#COVID19 Hatudharau chanjo ya corona Tanzania, tunasubiri majaribio zaidi kabla kuitumia

Snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,350
2,226
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.

Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
 
Tune ya muziki inabadilika tu. Tutafika tu pale mahali pa wote kuimba r n b. Waimba singeli wameanza kubadili ala za muziki. Alianza daktari mkuu wa serekali sasa msemaji mkuu wa serekali.

Dr Abasi unasema haya maneno kweli kabisa? Ulisikiliza hotuba ya muheshimiwa Rais alipokuwa akiponda utaratibu wa chanjo?
 
Tena ansema machanjo yao, aliponda mpk malaria ila jiwe ana roho ngumu.
 
Tune ya muziki inabadilika tu. Tutafika tu pale mahali pa wote kuimba r n b. Waimba singeli wameanza kubadili ala za muziki. Alianza daktari mkuu wa serekali sasa msemaji mkuu wa serekali.

Dr Abasi unasema haya maneno kweli kabisa? Ulisikiliza hotuba ya muheshimiwa Rais alipokuwa akiponda utaratibu wa chanjo?
Tatizo lenu uwa hamsikilizi kwa makini kinachozungumzwa na viongozi, ila mnasikiliza propaganda za wapotoshaji wa JF.
Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19.
 
Kikubwa nachoweza kukuhusia ni vaa barakoa, tumia maji tiririka kunawa mikono kila mara na tumia vitakasa mikono kila inapobidi.
 
Nao Japan wamekula hasara ya matrillion ya pesa kwa kununua mamillion ya chanjo kutoka makampuni ya Pfizer na Mordena baada ya kugundua kuwa hizo special syringes zake hazina uwezo wa kutoa kiwango cha dose inayohitajika. Jamani tusikurupuke kuhusu hili suala la chanjo. Tuwe na subira. Kwanza hazitolewi bure na bei yake ni kubwa sana.
 
South Africa wamekula hasara ya mabilioni baada ya kununua chanjo za AstraZeneca na kisha wakazizuia kutumika baada ya kugundua hazina nguvu ya kutosha kupambana na Variant mpya ya South Africa. Tuendelee kujiridhisha kwanza.
Fuatilia habari kwa kina, South Africa wamezi re-export kwa mataifa mengine ambayo hayana kirusi kipya. Hakuna hasara hapo.
 
Tatizo lenu uwa hamsikilizi kwa makini kinachozungumzwa na viongozi, ila mnasikiliza propaganda za wapotoshaji wa JF.
Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19.
Sawa kabisa, lakini cha kushangaza matamshi ya waziri hayakuwa kwamba tunajiridhisha kwanza, bali TZ haitaagiza hizo dawa. Yote kwa yote ukweli unabaki kuwa Covid imepamba moto na tunaangamia wakati wanasiasa wanavuta muda.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tatizo lenu uwa hamsikilizi kwa makini kinachozungumzwa na viongozi, ila mnasikiliza propaganda za wapotoshaji wa JF.
Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wakati yeye mwenyewe Jiwe kaagiza chanjo 80000 kachanjwa yeye na surbodinate wake , halafu anawadmbia chanjo mbaya , Jiwe hata ibilisi hatii mguu.
Wacha uzushi - hizi habari umezihibuwa kutoka kwenye reliable source hipi - tupe link na sisi tujulidhishe kwamba story hii haiku-originate kutoka vijiweni
 
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.

Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
Majaribio? Nani akufanyie majaribio? Mmekwisha, ugua pole
 
Fuatilia habari kwa kina, South Africa wamezi re-export kwa mataifa mengine ambayo hayana kirusi kipya. Hakuna hasara hapo.

Mkuu hayo ni mavuvuzela tu. Hawana nia na kuhami maisha ya watu. Hawana lolote!

Uwepo wa ufumbuzi wowote kwao ni pigo kubwa ajabu.

Mipango yao ni kupika uvumi wowote utakaodunisha uwezekano wowote wa kuwahami watu.

Jukumu la wataalamu wa afya limekuwa lao.

Watazuga sana ila wasisahau, siku moja watawajibika tu kila maisha yanayopotea.
 
Back
Top Bottom