Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,695
- 785
SPIKA wa Bunge Mstaafu ambaye sasa ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa, kwa sasa anaamini kuwa Serikali haiwabani wabunge kuhoji jambo lolote bungeni, bali kutokana na woga na hofu isiyo ya lazima wanajipoka fursa ya kuwa huru. Mwandishi Wetu, amefanya naye mahojiano maalumu kama ifuatavyo...