Tazama video ya Jussa, jiulize ilikuwaje ACT Wazalendo ikaunda Serikali ya mseto

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
655
1,000
Nyie acheni uchochezi! Mwenyezi Mungu hupanga kila jambo, uchaguzi huu ndio ulikuwa uchaguzi wenye matokeo mabaya kabisa kwa Maalim Seif Sharif Hamad lakini akakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa!

Angalia ameenda Chato kumwaaga Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Dr.Magufuli na aka pledge commitments zake kwake , na amewaacha Wazanzibar wamoja kabisa.

Angalia mazishi yake jinsi yanavyofanyika kwa heshima kubwa, fikiria tofauti kama angekufa akiwa mtu wa vurugu na kuzira kama CHADEMA walivyokuwa wakitaka!

Hivyo tukubali tu kuwa sisi ni binadamu na mwisho wetu aujuaye ni Mwenyezi Mungu!
Maalima Seif Sharif Hamad amepigana vita vitakatifu na amemaliza kwa heshima kubwa ( Life well lived).
Rest In Peace Maalim, Amen!
 
shanature

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
971
500
sasa huyu ndie aridhi hicho kiti cha maalimu..makamu wa kwanza...yaani ingekuwa ni mwinyi saa hiibabu angeshika dola ama nini?
 
Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,345
2,000
Nyie acheni uchochezi! Mwenyezi Mungu hupanga kila jambo, uchaguzi huu ndio ulikuwa uchaguzi wenye matokeo mabaya kabisa kwa Maalim Seif Sharif Hamad lakini akakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa!

Angalia ameenda Chato kumwaaga Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Dr.Magufuli na aka pledge commitments zake kwake , na amewaacha Wazanzibar wamoja kabisa.

Angalia mazishi yake jinsi yanavyofanyika kwa heshima kubwa, fikiria tofauti kama angekufa akiwa mtu wa vurugu na kuzira kama CHADEMA walivyokuwa wakitaka!

Hivyo tukubali tu kuwa sisi ni binadamu na mwisho wetu aujuaye ni Mwenyezi Mungu!
Maalima Seif Sharif Hamad amepigana vita vitakatifu na amemaliza kwa heshima kubwa ( Life well lived).
Rest In Peace Maalim, Amen!
Mazishi ya heshima??!!, ukifa umekufa hakuna Mazishi ya heshima.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
4,434
2,000
Nyie acheni uchochezi! Mwenyezi Mungu hupanga kila jambo, uchaguzi huu ndio ulikuwa uchaguzi wenye matokeo mabaya kabisa kwa Maalim Seif Sharif Hamad lakini akakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa!

Angalia ameenda Chato kumwaaga Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Dr.Magufuli na aka pledge commitments zake kwake , na amewaacha Wazanzibar wamoja kabisa.

Angalia mazishi yake jinsi yanavyofanyika kwa heshima kubwa, fikiria tofauti kama angekufa akiwa mtu wa vurugu na kuzira kama CHADEMA walivyokuwa wakitaka!

Hivyo tukubali tu kuwa sisi ni binadamu na mwisho wetu aujuaye ni Mwenyezi Mungu!
Maalima Seif Sharif Hamad amepigana vita vitakatifu na amemaliza kwa heshima kubwa ( Life well lived).
Rest In Peace Maalim, Amen!
Kama sifa ya kulazimisha maridhiano ni ili mkifa mzikwe vizuri hata kam mtaachiwa vilema vya kudumu, hongereni.

Naamini Chadema wamekataa kuwepo kwenye kundi hilo, Chadema wanataka heshima iwepo kwa wote bila kulazimishana maridhiano ili kutimiza interest zenu za kisiasa bila kujali athari walizopata wanachama wenu.
 
Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
390
1,000
Nyie acheni uchochezi! Mwenyezi Mungu hupanga kila jambo, uchaguzi huu ndio ulikuwa uchaguzi wenye matokeo mabaya kabisa kwa Maalim Seif Sharif Hamad lakini akakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa!

Angalia ameenda Chato kumwaaga Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Dr.Magufuli na aka pledge commitments zake kwake , na amewaacha Wazanzibar wamoja kabisa.

Angalia mazishi yake jinsi yanavyofanyika kwa heshima kubwa, fikiria tofauti kama angekufa akiwa mtu wa vurugu na kuzira kama CHADEMA walivyokuwa wakitaka!

Hivyo tukubali tu kuwa sisi ni binadamu na mwisho wetu aujuaye ni Mwenyezi Mungu!
Maalima Seif Sharif Hamad amepigana vita vitakatifu na amemaliza kwa heshima kubwa ( Life well lived).
Rest In Peace Maalim, Amen!
Ccm haijawhi kushinda Zanzibar. Tena Safari hii maalim seif alishinda kwa kishindo ila akanyanganywa tu. Fikilia vile vifaru vilikuwa vinafanya Nini na kwa Nini waliua wazenji wengi takribani laki moja ili kuwakandamiza wasidai ushindi wa seif
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,772
2,000
Huenda Zitto alikula hela ndefu pale, Isingewezekana Zitto aweke career yake ya kisiasa rehani bila kupenyezewa rupia ndefu, la Sasa angeishije, kazi hana na ana familia?. Kuna uwezekano mkubwa aliuza mechi yule kijana maana misimamo yake mara tu uchafuzi ule ulivyofanyika na kisha mwezi mmoja baadae ni misimamo miwili tofauti.

Hata Hivyo Maalim naye alikuwa Tamaa mbele mauti nyuma. Alisaliti aspiration za Wazanzibar kwa kukubali kuingia kwenye serikali iliyowekwa madarakani na Tanganyika, Kwa kufanya hivyo amefubaza ari na nia ya Wazanzibar kujikwamua kutoka kwente ukoloni huu!
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,920
2,000
Wengi wenu tatizo lenu ni kua hamjawahi kumuelewa Maalim Seif, wala hamkuwahi kufuatilia kwa karibu harakati zake za kisiasa, mumekua mukiziona juu juu tu. Ndio mana munaropokwa ovyo mitandaoni. Wanaomuelewa Maalim Seif ndio hao waliojaa kwenye viwanaja mchana huu.
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,920
2,000
Huenda Zitto alikula hela ndefu pale, Isingewezekana Zitto aweke career yake ya kisiasa rehani bila kupenyezewa rupia ndefu, la Sasa angeishije, kazi hana na ana familia?. Kuna uwezekano mkubwa aliuza mechi yule kijana maana misimamo yake mara tu uchafuzi ule ulivyofanyika na kisha mwezi mmoja baadae ni misimamo miwili tofauti.

Hata Hivyo Maalim naye alikuwa Tamaa mbele mauti nyuma. Alisaliti aspiration za Wazanzibar kwa kukubali kuingia kwenye serikali iliyowekwa madarakani na Tanganyika, Kwa kufanya hivyo amefubaza ari na nia ya Wazanzibar kujikwamua kutoka kwente ukoloni huu!

Mkuu umekua ukizungumza maneno ya ajabu siku za karibuni, inasikitisha kwa kweli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom