Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema Mawaziri hawafanyi mawasiliano, suala linalowapa changamoto watu wa chini.
Ametoa kauli hiyo leo katika uzinduzi wa majengo ya Chuo cha Polisi...
MAJIBIZANO KATI YA ASKOFU MWAMAKULA NA PROFESA LWAITAMA!
Baada ya Askofu Mwamakula kuposti katika ukurasa wake taarifa za mwanaharakati nguli wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo-Bisimba kuunga...
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Mtakumbuka Rais magufuli alitoa kibali cha kuajiri walimu 13,000 ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa walimu nchini.
Katika kibali hicho, serikali...
Leo Serikali imetoa waraka mrefu unaoelezea namna Watanzania wanavyotakiwa kupambana na tatizo la Covid 19. Kiufupi mwongozo huo wa Wizara ya Afya, unaoelezea zaidi mambo yanayotakiwa kufanywa ili...
Mkazi wa Kijiji la Luganga, Wilaya ya Mufindi, Iringa, alikozaliwa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali analazimika kutumia saa 32 kufika katika kaburi la kiongozi huyo...
Kama utakuwa umefatilia kwa makini juu ya iliyokuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, utaona havina tofauti yoyote na mapendendekezo ya tume ya jaji Warioba juu ya muundo wa Serikali tatu (3)...
Habari wanajukwaa.
Nilibahatika kumsikia mheshimiwa Lowasa akitafuta wadhamini juni 2015 akiwa mtangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM. Ktk kutafuta wadhamini alisema atapambana na kero za...
Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.
Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam...
Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda.
Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa...
Hiki chama kinachotawala hapa nchini kwetu kina mtandao mpana sana. Hii ni kwa mujibu ya historia yake na jinsi kilivyojijenga kisiasa.
Ndio maana ukiwazingua wanakuweka kando na kukushit...
Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita.
Naomba kuelimishwa
Maendeleo...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula...
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!
Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa...
Mkuu wa nchi analia mbele ya kipaza sauti kuwa wananchi wake wanabambikiwa kodi. Je, waende wapi kudai haki zao?
Wanaoonewa na mahakimu, polisi na watendaji kata waende wapi?
Je, ni lini...
Kuna tetesi zinasambaa kwenye viunga mbali mbali kuwa kile ambacho mapacha watatu wanajidai nacho ni 'kifo' cha aliyekuwa gavana wa BOT,Balali. Inasemekana kulikuwa na makubaliano ya 'kumuua' ili...
Habari ya mchana wakubwa.
Hivi karibuni msemaji wa Club ya Simba Haji Manara alikuwa anazungumza na Salama Jabir; Haji alijinasibisha kama mmoja wa mabingwa wa propaganda hapa nchini.
Haji...
Mheshimiwa Rais Magufuli leo ametangaza rasmi mchakato wa kulifuta jiji la Dar ambalo linatokana na manispaa tano za mkoa wa Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni) ili kuunda jiji...
Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala.
Kwa...