Majibizano kati ya Askofu Mwamakula na Profesa Lwaitama

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,009
MAJIBIZANO KATI YA ASKOFU MWAMAKULA NA PROFESA LWAITAMA!

Baada ya Askofu Mwamakula kuposti katika ukurasa wake taarifa za mwanaharakati nguli wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo-Bisimba kuunga mkono kampeni za "Matembezi ya Hiyari" ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, watu mbalimbali wametoa hisia zao akiwemo Prof. Azaveli Lwaitama! Yafuatayo na majibizano mafupi Kati yake na Askofu Mwamakula:

Prof. LWAITAMA: Ahaha!! Baba Askofu kweli wewe na wenzako wachache unaanza kuwa na ujasiri kama wa Askofu Desmond Tutu wa Afrika ya Kusini kipindi hiki Tanzania inapozidi kusonga mbele kwenye Harakati za Ukombozi Aaamu ya Pili. Asante sana kwa kujitoa muhanga huku Maskofu wetu na Masheikh wetu wachache!!

Askofu Mwamakula: Azaveli Lwaitama ha ha ha! Profesa! Ukweli ni kuwa Mungu hatarajii kitu kingine chochote zaidi ya kuona watu wakitenda haki katika uso wa nchi (Mika 6:8)!

Je, ni nini mtazamo wako kuona Mama huyu kuunga mkono kampeni hizi katika utu uzima wake? Unawaza nini kuhusu haki katika uso wa nchi? Unafikiri ni nguvu ya kibinadamu iliyo nyuma ya vuguvugu hili? Unafikiri wanaopambana na vuguvugu hili wanajua nguvu iliyoko nyuma yake?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

1614313761964.jpeg
 
Mleta mada kwanza wewe mwongo wa kutupwa Lwaitama hajawahi kuwa Profesa maisha yake yote ni Doctor Rwaitama hakuwa na uwezo wa kuwa Profesa sababu kichwa chake hakikuwa na uwezo huo kastaafu akiwa Doctor tu.

Sasa maadamu umeanza na uwongo taarifa yako yote inapiteza credibility!

Halafu ona wanavyojitia Eti Corona ipo watu wachukue hatua wamevaa barakoa!!! lakini kwa kuwa uwezo wao mdogo wa uelewa wamesahau kwenye hilo igizo lao la kizeee kukaa umbali wa mita moja katikati yao wamebanana!! hii picha kama lengo ni kuonyesha wanapambana na Corona kujikinga imekaa kimaigizo zaidi.

Corona social distance muhimu mbona hapo wamebanana kama Bwana ba bibi Harusi ?Askofu mfanya maigizo at work.Tukimwambia baki kanisani tu hajielewi huku nje maigizo yatakuumbua.

Nyie vikongwe maigizo hayafai umri huo.
 
Mleta mada kwanza wewe mwongo wa kutupwa Lwaitama hajawahi kuwa Profesa maisha yake yote ni Doctor Rwaitama hakuwa na uwezo wa kuwa Profesa sababu kichwa chake hakikuwa na uwezo huo kastaafubakiwa Doctor tu...
Najua hutaki watu wadai katiba mpya, maana wataharibu deal lenu la kumshinikiza yesu wa ccm kuendelea kukaa madarakani ili muendelee kushiba na familia zenu.
 
Mleta mada kwanza wewe mwongo wa kutupwa Lwaitama hajawahi kuwa Profesa maisha yake yote ni Doctor Rwaitama hakuwa na uwezo wa kuwa Profesa sababu kichwa chake hakikuwa na uwezo huo kastaafubakiwa Doctor tu

Sasa maadamu umeanza na uwongo taarifa yako yote inapiteza credibility!!!


Halafu ona wanavyojitia Eti Corona ipo watu wachukue hatua wamevaa barakoa!!! lakini kwa kuwa uwezo wao mdogo wa uelewa wamesahau kwenye hilo igizo lao la kizeee kukaa umbali wa mita moja katikati yao wamebanana!! hii picha kama lengo ni kuonyesha wanapambana na Corona kujikinga imekaa kimaigizo zaidi .Corona social distance muhimu mbona hapo wamebanana kama Bwana ba bibi Harusi ?Askofu mfanya maigizo at work.Tukimwambia baki kanisani tu hajielewi huku nje maigizo yatakuumbua
Kweli kabisa, social distancing is recommended at least one meter from one person to another, asa hapo ni vituko.... Maigizo at its best.
 
[/QUOTE]
Nas
Kweli kabisa, social distancing is recommended at least one meter from one person to another, asa hapo ni vituko. Maigizo at its best.
Kwa umri huo hawatakiwi kufanya maigizo watulie walee wajukuu wasionekane vituko mbele ya wajukuu na vitukuu. Michezo ya kuigiza haiwafai vikongwe.
 
Heri wao waseme ingekuwa ni mashekh hadi sasa wangekua jela kwa kosa la ugaidi
Kwani hao mashekhe walifungwa kipindi anaongoza mkristo au muislam? kama lawama mtupieni JK ila ukweli tuuseme tu mashekhe ni waoga sana wanaogopa hafi vivuli vyao isipokuwa Shehe ponda tu
 
Kabisa, sasa wakiona hawa wanaodai katiba mpya ambayo ni madai halali, wanajua yataharibu mpango wao haramu wa kumuongezea jiwe muda za kufia madarakani.
Mimi binafsi naunga mkono upatikanaji wa katibabmpya, lakini siwezi kukomenti upuuzi kama huu, kwamba JPM ataongeza muda! Ni upuuzi usio na mfano.
 
Nas
Kwa umri huo hawatakiwi kufanya maigizo watulie walee wajukuu wasionekane vituko mbele ya wajukuu na vitukuu .Michezo ya kuigiza haiwafai vikongwe
[/QUOTE]
Igizo hili halijafikia lile la kutoa mgonjwa hospital na kumpeleka kuongea na vyombo vya habari kwa ajili ya kumjibu Kigogo
 
Lwaitama kuanza kwa kujichekesha ni ishara ya kujibaraguza, unafiki na ulaghai. Nafikiri kicheko cha Askofu ni sarcasm.

Ila vyovyote vile, isimheshimu wala kumuamini msomi wa Tanzania mpaka pale umemjua vizuri.
 
Mleta mada kwanza wewe mwongo wa kutupwa Lwaitama hajawahi kuwa Profesa maisha yake yote ni Doctor Rwaitama hakuwa na uwezo wa kuwa Profesa sababu kichwa chake hakikuwa na uwezo huo kastaafu akiwa Doctor tu

Sasa maadamu umeanza na uwongo taarifa yako yote inapiteza credibility!!!


Halafu ona wanavyojitia Eti Corona ipo watu wachukue hatua wamevaa barakoa!!! lakini kwa kuwa uwezo wao mdogo wa uelewa wamesahau kwenye hilo igizo lao la kizeee kukaa umbali wa mita moja katikati yao wamebanana!! hii picha kama lengo ni kuonyesha wanapambana na Corona kujikinga imekaa kimaigizo zaidi .Corona social distance muhimu mbona hapo wamebanana kama Bwana ba bibi Harusi ?Askofu mfanya maigizo at work.Tukimwambia baki kanisani tu hajielewi huku nje maigizo yatakuumbua

Nyie vikongwe maigizo hayafai umri huo
Umechokonolewa wapi?maana umeruka na kujikanyaga mwenyewe
 
Back
Top Bottom