Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,635
- 218,068
Ilianza Songea na sasa ni Mafinga
Kesho ni wapi ?
Kesho ni wapi ?
Chatto
Watu kusema ukweli wa machungu wanayokutana nayo kwenye biashara zao unaita "mbinu" panueni bongo zenu mjue namna ya kumkwamua mtanzania toka kwenye hali ngumu aliyonayo, acheni utani, kama hilo limewashinda ondokeni ikulu.Ndiyo mbinu yenu mpya ama!?
Kweeeeriiiiiiuchumi wa kati, nasema uongo ndg zangu?!.
Siku hizi ukitaka kupata fremu ya kufanyia biashara hapa kariakoo hauna haja ya kumtafuta dalali tena maana mafremu yamejaa kibao.
Huyo hana tofauti na popoUsihamishe magoli, CCM mmeshindwa kuweka mazingira mazuri ya kufanyia BIASHARA
Kwani unadhani wao hawajui kuwa maji sasa yapo shingoni?Jibu zuri takwimu Mwezi March 2021, Quater ya 1 tutapata takwimu nzuri majibu mwendelezo madhara Agency notice kutumia task force.Natamani TRA waendelee kutujuza makusanyo Jan21;Feb21 na March21 kama taarifa ile ya 2T... ya Dec 20.
Hayo ni madhara ya mikesha ya mbio za mwengeHasara aliyoipata mama yako haisemeki !
Mzazi huchagui mtoto. Hata ukapata mtoto mwenye utindio wa ubongo kama alivyo huyo Etwege, itabidi umlee.Hasara aliyoipata mama yako haisemeki !
Kwani jiko la kupikia gesi imeisha?tutafanya Kama kawaida yetuJibu zuri takwimu Mwezi March 2021, Quater ya 1 tutapata takwimu nzuri majibu mwendelezo madhara Agency notice kutumia task force.Natamani TRA waendelee kutujuza makusanyo Jan21;Feb21 na March21 kama taarifa ile ya 2T... ya Dec 20.
Tanzania ni yetu sote na wewe , denooJ, ukiwemo( vinginevyo useme kabisa hapa kuwa wewe si mtanzania). Kwa hiyo, changamoto zinazomkabili mtanzania wa Songea, Mafinga ,Tanga, Sirali na hata Chakechake tunapaswa kuzitafutia ufumbuzi kwa kila mtanzania kwa nafasi aliyonayo.ondokeni ikulu.
Aliyeanzisha ni huyo baba ako mwenyewe kuwa bagua watu kwa vyama, dini, makabila na ukanda, anza kumshauri yeye aione Tz ni mali ya watu wote na siyo ya kikundi fulani.Tanzania ni yetu sote na wewe , denooJ, ukiwemo( vinginevyo useme kabisa hapa kuwa wewe si mtanzania). Kwa hiyo, changamoto zinazomkabili mtanzania wa Songea, Mafinga ,Tanga, Sirali na hata Chakechake tunapaswa kuzitafutia ufumbuzi kwa kila mtanzania kwa nafasi aliyonayo.
Ufumbuzi unaweza kuwa wa kutoa mawazo chanya ama mali ama nguvu kazi kutatua changamoto hiyo. Huo ndiyo muhimili wa roho ya utaifa unaotuleta pamoja kama watanzania. Wasiotutakia mema wako nashughuli nyingi kwa nia ovu ya kuvunja muhimili wetu huu wa utaifa! (Sijasema wewe ni mmojawao).
Kitendo cha baadhi ya watu tena bila aibu kutoka hadharani hasa mitandaoni kushangilia changamoto zinazowakabili wenzetu badala ya kutafuta ufumbuzi, kukebehi juhudi za wanaojaribu kutatua changamoto hizo badala ya kuungana nao kuleta mawazo chanya kupata ufumbuzi nakadhalika nakadhalika, ni kitendo cha ovyo kufanywa na watu tena wanaojinasibu wana akili kubwa!
Nawasihii watanzania wenzangu tuwe na roho ya utaifa na tuionyeshe kwa kuungana pamoja kwa amani na upendo kukabiliana na changamoto zinazotukabili kwa mtanzania mmoja mmoja, kundi ama taifa.
Asanteni kwa kusoma bandiko langu hili.
Hapa marehemu Ben alichemsha snWalidhani kuongoza nchi ni rahisi kama kwenda sokoni kununua mchicha, hao wafanyabiashara wanawekewa mazingira magumu ya kufanyia biashara zao ikiwemo ushuru kila upande wakati wateja wa biashara zao hawaonekani, mkifanya mchezo uchumi wa hii nchi utasimama, watu watakuwa wanakwenda kula ikulu ndogo za kila mkoa.
Jibu zuri takwimu Mwezi March 2021, Quater ya 1 tutapata takwimu nzuri majibu mwendelezo madhara Agency notice kutumia task force.Natamani TRA waendelee kutujuza makusanyo Jan21;Feb21 na March21 kama taarifa ile ya 2T... ya Dec 20.