Mboga itakayomwagwa na mapacha (RACHEL) ni Gavana Daudi Balali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mboga itakayomwagwa na mapacha (RACHEL) ni Gavana Daudi Balali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Donyongijape, Jun 10, 2011.

 1. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kuna tetesi zinasambaa kwenye viunga mbali mbali kuwa kile ambacho mapacha watatu wanajidai nacho ni 'kifo' cha aliyekuwa gavana wa BOT,Balali. Inasemekana kulikuwa na makubaliano ya 'kumuua' ili kuficha skendo nyingi za EPA ikiwemo KAGODA ambayo inadaiwa ilimuingiza ikulu mkuu wa kaya na chama. Duru zinatonya kuwa Balali yupo hai akiwa anaranda na mask ya sura nyingine.Imepangwa HIVI wakitimuliwa,'atafufuliwa' na kuweka wazi kila kitu.

  MMMH HIVi kwa nini MAZISHI,KABURI lake etc yalikuwa siri?..TAFAKARI!
   
 2. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umejiunga lini wewe?. Ulishajua mpaka kupost thread mpya! Kazi ipo.
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Chukua hatua na haki elimu
   
 4. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  kazi ipo kwako..am a member for a year now! hata hivyo acha kupindisha thread..changia km mtu mzima siyo kama zezeta! kama hauna la kuandika soma kisha ondoka zako..nyie ndio mnaojifanya km ccm..oh sisi tulikuwepo tangu uhuru..hivvi vya juzi tu..Jenga hoja,acha upunguani! HATA BIBLE KWNY MHUBIRI inasema heri kijana maskini mwerevu kuliko mfalme mzee mpumbavu,! FICHA UPUMBAVU WAKO!
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nani amekwambia Dk. Ballali amekufa?
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,055
  Trophy Points: 280
  si ni msukule wa Gwajima?
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Yote yatajulikana kabla ya 2015 au 2015 yenyewe wakati wa uteuzi wa mgombea wa urais CCM
   
 8. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Sinema mpya kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! just wait n see
   
 9. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmh makubwa hayo..walazimisheni wajiuzulu halafu watupe huo mpango ulikamilishwaje na nani hasa mhusikaa mkuu wa hiyo show..tutajua mengi mwaka huu
   
 10. Mvuni

  Mvuni JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  waache wafu wawazike wafu wao, inakuhusu nini?
   
 11. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Siku Lowasa atakapohitilafiana na Kikwete/CCM kikwelikweli;patakuwa hapatoshi bongo hapa patachimbika zaidi ya ft elfu ishirini kwenda chini!
   
 12. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,647
  Likes Received: 5,240
  Trophy Points: 280
  Dayz r numbered. Lets wait n' c.
   
 13. Shibalanga

  Shibalanga Senior Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kwa namna yoyote atakavyoeleza ubaya wa best yake JK bado watanzania hatutamuelewa, tutamuuliza swali moja tu ulikuwa wapi? Mbona hukusema kitambo?
   
 14. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa mazingira ya kilichosemekana kuwa kifo cha Balali ni wazi kwa mtu mwenye akili timamu kwamba yuko hai.Sasa to some of us that won't be news.Lakini hata wakisema Balali yuko hai,they have nothing to gain as individuals,kwa kuwa madhambi yao yana-remain intact.
   
 15. Mpandafarasi

  Mpandafarasi Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iwe ni kwaajili ya kumwaga mboga by hao mapacha watatu au la. What we say ni kwamba kuna movies nyingi tu wametuchezea hawa tuliowapa nchi waiongoze.

  Hiyo ya Balkali ni moja ya movies hizo. Kifo cha balali kimeacha maswali yasoulizika na hivyo hakuna anayethubutu kuuliza wala kujibu. lakini ni vema ikafahamika kuwa CCM haitadumu milele, nao mwisho wake u karibu. Wizi, mizengwe na movies zote zilizochezwa ni lazima Watanzania tuje tufahamu ukweli wake na waliohusika lazima wawajibishwe siku moja hata kama si leo. Ifahamike kuwa mali walizoiba tutazirejesha nao tutawaadhibu. Tazama Kule Misri Rais Mobarak yupo wapi sasa, yupo wapi yule aliyejiona mfalme, yu wapi le? Wapo wapi watoto wake na mkewe rais? Wapo jela.

  Hao Mapacha watatu wakimwaga mboga ni sawa lakini hata wasipomwaga mboga,siku si nyingi, nazo zaja tena zaja kwa kasi isotegemewa tutajua tu, tangu yale ya Balali na yote waliyotupiga changa la macho.

  Ifahamike kuwa Tanzania ya sasa si ile ya miaka ile. Watz tumebadilika, tumeamka. Tunaendelea kubadilika na tunafumbuka macho. Kitaeleweka tu tena si muda mrefu.

  Nawasilisha.
   
 16. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo hao kina lowassa wakitoa siri hiyo, itakuwa kwa maslahi ya nani? Kwa nini watoe sasa? Ndio watakuwa wamejisafisha na kuaminiwa na wa tz? Hao mjadala wao tulishaufunga jamani. Wametuchosha kuwasikia, tuleteeni hoja zingine
   
 17. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ili kumaliza utata uliopo juu ya kifo cha Ballali nashauri kwa yeyote mwenye uwezo afuatilie nyendo za mke wake Muganda, huyo ndiye anaweza akakupeleka aliko Ballali kama kweli yu hai. Na jambo lingine, mama huyo anahusishwa yeye binafsi na kashfa ya meremeta, imekuwaje akasahulika hivi!
   
 18. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  lengo la jamii nikuwa na members wengi iwezekanavyo haijalishi amejiunga lini ili kuweza kuanzisha thread mpya, chamsingi changia hoja kama imekuboa achana nayo tafuta nyingine
   
 19. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  mboga itakayomwaga sio hiyo ya Balali tu, tutarajie mengi sana yatafichuka endapo EL atabaniwa kugombea urais 2015(achilia mbali kuvuliwa uanachama)
   
 20. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hujaelewa maana? Kasema wao (jeykey &co.) wakimwaga ugali rachel watamwaga mboga, maana nyingine hakuna wakufaidi ila wapo tayari kupoteza wote na hiyo ni advantage kwa wanamageuzi
   
Loading...