MTWARA: Serikali yamsimamisha kazi Mkuu wa shule ya Sekondari ya Naliendele

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,874
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula katika shule hiyo kwa wakati huku fedha walizopewa na serikali zimeisha na ujenzi haujakamilika.

Naibu Waziri Silinde amechukua uamuzi huo baada ya kutembelea shule hiyo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoa wa Mtwara na kukuta matumizi mabaya ya fedha ambazo zilipaswa ujenzi huo uwe umekamilika tangu mwishoni mwaka mwaka jana 2020 lakini umesimama baada ya fedha zote shilingi milioni 180 zikiwa zimeisha huku majengo hayo yakiwa yamesimama.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri Silinde amemuagiza Afisa Elimu Sekondari wa Manispaa Mayembe Mangula kuandika barua ya kujieleza kwanini asichukuliwe hatua kali za kuvuliwa nyadhifa zake baada ya kushindwa kusimamia ujenzi huo.

"Nimepita maeneo mengi nchini wote waliopelekewa fedha kama zenu wamekamilisha kwa wakati kwa fedha hizo hizo iweje nyinyi ambao mpo karibu na kiwanda cha saruji ambapo bei ni rahisi amjakamilisha kabisa mnaniletea hii skelton eti imekula milioni mia wakati wenzenu wamejenga mpaka kuwezeka kwa shilingi milioni 37 sasa mkuu wa shule na kusimaisha na ninataka barua yako Tamisemi haraka ya kwanini tusikuvue madaraka kwa kushindwa kusimamia ujenzi, Mtwara Mikindani mmekuwa wa mwisho kitaifa nchi nzima kwa kuharibu mradi huu," aliema Mh. Silinde.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Kanali Emanuel Mwaigobeko amesema wataongeza fedha hili kukamilisha mradi wa bweni la wanafunzi mpaka kufikia mwezi wa nne mwishoni watakuwa wamekamilisha bweni hilo na wameomba serikali kuu kusaidia kumaliza ujenzi bwalo kwani wao watashindwa kupata fedha zinazotakiwa kwa wakati ambazo ni ni zaidi ya shilingi milioni 98.

Katika utetezi wake kwa Naibu Waziri Silinde Mkuu wa Shule ya Naliendele Halidi Mchanga alisema walikutana na changamoto ya upatikanaji wa saruji, mvua kubwa kukwamisha ujenzi ikabidi wasubiri ziishe mwanzoni mwa mwaka huu na ushiriki hafifu wa wananchi katika kuchangia ujenzi kwa kuchimba msingi.
 
Nishauri pesa za kujenga shule na hospital ziwe zinapitia ofisi ya katibu tawala mkoa then Ras anakaa naDas na kamati zao za ulinzi na usalama wasimamie ujenzi.

Tutawahukumu walimu na madaktari kila kukicha

Liangalieni hili kwa mapama sana
 
MTWARA :- Serikali yamsimamisha kazi Mkuu wa shule ya Sekondari ya Naliendele

Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amemsimamisha kazi mkuu wa shule ya sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula katika shule hiyo kwa wakati huku fedha walizopewa na serikali zikiwa hiku ujenzi ukiwa bado haujakamilika.

Mhe. Silinde amechukua uamuzi huo baada ya kutembelea shule hiyo iliyopo katika halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani wa Mtwara na kukuta matumizi mabaya ya fedha ambazo zilipaswa ujenzi huo uwe umekamilika toka mwishoni mwaka mwaka jana 2020 lakini umesimama baada ya fedha zote milion 180 zikiwa zimeisha huku majengo hayo yakiwa yamesimama.

Katika hatua nyingine Mhe.Silinde amemuagiza Afisa elimu sekondari wa manispaa Mayembe Mangula kuandika barua ya kujieleza kwanini asichukuliwe hatua kali za kuvuliwa nyadhifa zake baada ya kushindwa kusimamia ujenzi huo.

"Nimepita maeneo mengi nchini wote waliopelekewa fedha kama zenu wamekamilisha kwa wakati kwa fedha hizohizo iweje nyinyi ambao mpo karibu na kiwanda cha simenti ambapo bei ni rahisi amjakamilisha kabisa mnaniletea hii skelton eti imekula milioni mia wakati wenzunu wamejenga mpaka kuwezeka kwa milioni 37 sasa mkuu wa shule nakusimaisha na ninataka barua yako tamisemi haraka ya kwanini tusikuvue madaraka kwakushindwa kusimamia ujenzi, Mtwara Mikindani mmekua wa mwisho kitaifa nchi nzima kwa kuharibu mradi huu" amesema Mhe Silinde

Kwa upande wake Mkurugenzi wa manispaa ya Mtwara Mikindani kanali Emanuel Mwaigobeko amesema wataongeza fedha hili kukamilisha mradi wa bweni la wanafunzi mpaka kufikia mwezi wa nne mwishoni watakua wamekamilisha bweni hilo na wameomba serikali kuu kusaidia kumaliza ujenzi bwalo kwani wao watashindwa kupata fedha zinazotakiwa kwa wakati ambazi ni ni zaidi ya milion 98

Katika utetezi wake kwa Mhe. Silinde mkuu wa shule ya Naliendele Halidi Mchanga amesema walikutana na changamoto ya upatikanaji wa saruji,mvua kubwa kukwamisha ujenzi ikabidi wasubil ziishe mwanzon mwa mwaka huu na ushirki hafifu wa wananchi katika kuchangia ujenzi ikiwa kuchimba msingi.
 
Naibu Waziri Silinde amechukua uamuzi huo baada ya kutembelea shule hiyo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoa wa Mtwara na kukuta matumizi mabaya ya fedha ambazo zilipaswa ujenzi huo uwe umekamilika tangu mwishoni mwaka mwaka jana 2020 lakini umesimama baada ya fedha zote shilingi milioni 180 zikiwa zimeisha huku majengo hayo yakiwa yamesimama.
Wahandisi wa Halimashauri walikuwa wapi na wanafanya kazi gani?
 
HIVI JAMANI KATI YA MSIMAMIZI NA MWALIMU YUPI ALITAKIWA KUCHUKULIWA HATUA ZA AWALI? BADALA YAKE MNAFUKZA MWALIMU HALAFU MWINGINE ANAENDELEA KULA BATA
, ETI AANDIKE BARUA YA KUJIELEZEA KWA NINI ASICHUKULIWE HATU..! UJUE MAISHA YA WATU MNAYAONA KAMA NYIE NDO MNAYAFANYA YAENDE...
 
Injinia anafanya tathmini ya ujenzi na kuja na mahesabu ya milioni mia tano, mwanasiasa asiye mtaalam anasema hapana lijengwe mwa milioni mia tatu (ili kumfurahisha mteuaji). Lisipokamilika anayehukumiwa ni msimamizi ambaye hajui hata mahesabu/vipimo vya ujenzi.
 
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula katika shule hiyo kwa wakati huku fedha walizopewa na serikali zimeisha na ujenzi haujakamilika.

Naibu Waziri Silinde amechukua uamuzi huo baada ya kutembelea shule hiyo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoa wa Mtwara na kukuta matumizi mabaya ya fedha ambazo zilipaswa ujenzi huo uwe umekamilika tangu mwishoni mwaka mwaka jana 2020 lakini umesimama baada ya fedha zote shilingi milioni 180 zikiwa zimeisha huku majengo hayo yakiwa yamesimama.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri Silinde amemuagiza Afisa Elimu Sekondari wa Manispaa Mayembe Mangula kuandika barua ya kujieleza kwanini asichukuliwe hatua kali za kuvuliwa nyadhifa zake baada ya kushindwa kusimamia ujenzi huo.

"Nimepita maeneo mengi nchini wote waliopelekewa fedha kama zenu wamekamilisha kwa wakati kwa fedha hizo hizo iweje nyinyi ambao mpo karibu na kiwanda cha saruji ambapo bei ni rahisi amjakamilisha kabisa mnaniletea hii skelton eti imekula milioni mia wakati wenzenu wamejenga mpaka kuwezeka kwa shilingi milioni 37 sasa mkuu wa shule na kusimaisha na ninataka barua yako Tamisemi haraka ya kwanini tusikuvue madaraka kwa kushindwa kusimamia ujenzi, Mtwara Mikindani mmekuwa wa mwisho kitaifa nchi nzima kwa kuharibu mradi huu," aliema Mh. Silinde.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Kanali Emanuel Mwaigobeko amesema wataongeza fedha hili kukamilisha mradi wa bweni la wanafunzi mpaka kufikia mwezi wa nne mwishoni watakuwa wamekamilisha bweni hilo na wameomba serikali kuu kusaidia kumaliza ujenzi bwalo kwani wao watashindwa kupata fedha zinazotakiwa kwa wakati ambazo ni ni zaidi ya shilingi milioni 98.

Katika utetezi wake kwa Naibu Waziri Silinde Mkuu wa Shule ya Naliendele Halidi Mchanga alisema walikutana na changamoto ya upatikanaji wa saruji, mvua kubwa kukwamisha ujenzi ikabidi wasubiri ziishe mwanzoni mwa mwaka huu na ushiriki hafifu wa wananchi katika kuchangia ujenzi kwa kuchimba msingi.
Kama hela imekwisha, nadhani itapendeza kama watamfikisha mahakamani haraka iwezekanavyo. Halafu watu wezi wa namna hii, basi tu!
 
HIVI JAMANI KATI YA MSIMAMIZI NA MWALIMU YUPI ALITAKIWA KUCHUKULIWA HATUA ZA AWALI? BADALA YAKE MNAFUKZA MWALIMU HALAFU MWINGINE ANAENDELEA KULA BATA
, ETI AANDIKE BARUA YA KUJIELEZEA KWA NINI ASICHUKULIWE HATU..! UJUE MAISHA YA WATU MNAYAONA KAMA NYIE NDO MNAYAFANYA YAENDE...
Noma kweli
 
Katika hatua nyingine Mhe.Silinde amemuagiza Afisa elimu sekondari wa manispaa Mayembe Mangula kuandika barua ya kujieleza kwanini asichukuliwe hatua kali za kuvuliwa nyadhifa zake baada ya kushindwa kusimamia ujenzi huo.
1614161279662.png
 
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula katika shule hiyo kwa wakati huku fedha walizopewa na serikali zimeisha na ujenzi haujakamilika.

Naibu Waziri Silinde amechukua uamuzi huo baada ya kutembelea shule hiyo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoa wa Mtwara na kukuta matumizi mabaya ya fedha ambazo zilipaswa ujenzi huo uwe umekamilika tangu mwishoni mwaka mwaka jana 2020 lakini umesimama baada ya fedha zote shilingi milioni 180 zikiwa zimeisha huku majengo hayo yakiwa yamesimama.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri Silinde amemuagiza Afisa Elimu Sekondari wa Manispaa Mayembe Mangula kuandika barua ya kujieleza kwanini asichukuliwe hatua kali za kuvuliwa nyadhifa zake baada ya kushindwa kusimamia ujenzi huo.

"Nimepita maeneo mengi nchini wote waliopelekewa fedha kama zenu wamekamilisha kwa wakati kwa fedha hizo hizo iweje nyinyi ambao mpo karibu na kiwanda cha saruji ambapo bei ni rahisi amjakamilisha kabisa mnaniletea hii skelton eti imekula milioni mia wakati wenzenu wamejenga mpaka kuwezeka kwa shilingi milioni 37 sasa mkuu wa shule na kusimaisha na ninataka barua yako Tamisemi haraka ya kwanini tusikuvue madaraka kwa kushindwa kusimamia ujenzi, Mtwara Mikindani mmekuwa wa mwisho kitaifa nchi nzima kwa kuharibu mradi huu," aliema Mh. Silinde.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Kanali Emanuel Mwaigobeko amesema wataongeza fedha hili kukamilisha mradi wa bweni la wanafunzi mpaka kufikia mwezi wa nne mwishoni watakuwa wamekamilisha bweni hilo na wameomba serikali kuu kusaidia kumaliza ujenzi bwalo kwani wao watashindwa kupata fedha zinazotakiwa kwa wakati ambazo ni ni zaidi ya shilingi milioni 98.

Katika utetezi wake kwa Naibu Waziri Silinde Mkuu wa Shule ya Naliendele Halidi Mchanga alisema walikutana na changamoto ya upatikanaji wa saruji, mvua kubwa kukwamisha ujenzi ikabidi wasubiri ziishe mwanzoni mwa mwaka huu na ushiriki hafifu wa wananchi katika kuchangia ujenzi kwa kuchimba msingi.
Kazi ya mwalimu ni kufundisha sio kusimamia ujenzi.
Ujenzi unasimamiwa na wahandisi.
Mtiririko wa kazi inaweza kuwa sio sahihi , ndio maana taaluma inaanguka!
Siasa inaondoa usimamizi wenye tija,kwa nini asipewe msimamizi wa mwalimu kuchukua hatua stahiki ,maana Kiongozi mkubwa anafika siku moja ya ziara na kutoa matamko huku akilinganisha na maeneo mengine ya nchi bila kufahamu changamoto zilizopo katika eneo lilokwama katika ujenzi.
 
Katika hatua nyingine Naibu Waziri Silinde amemuagiza Afisa Elimu Sekondari wa Manispaa Mayembe Mangula kuandika barua ya kujieleza kwanini asichukuliwe hatua kali za kuvuliwa nyadhifa zake baada ya kushindwa kusimamia ujenzi huo.
Tunaomjua huyo Afisa Elimu tulishangaa ameupataje huo uafisa kwakuwa huko alikotoka ana madudu mengi sana, Naibu Waziri anatakiwa afuatilie historia yake atajua zilikokwenda hizo fedha
 
Pesa zote za miradi zinazokwenda shuleni msimamizi ni mkurugenzi na analipwa 10% ya usimamizi, miradi umeshindwa lakini mkurugenzi haguswi kwa vipi?

Pesa ikifika shuleni lazima mkuu wa shule apeleke fungu kwa Afisa Elimu na mkurugenzi, bila hivyo anatumbuliwa, miradi haujakamilika anatumbuliwa tena, hivi afanyeje?
 
Back
Top Bottom