Zitto Kabwe: Tumeshakabidhi jina la makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kwa Rais Hussein Mwinyi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,467
141,168
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema tayari wamekabidhi jina la makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais Hussein Mwinyi.

Zitto Kabwe amesema hayo kwenye kisomo cha kumuombea marehemu Maalim Seif Shariff

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
I doubt kama ni mwanachama wa ACT
Kitambo mbona ni mwanachama na ndie aliyesaidia pa kubwa kutengeneza manifesto ya ACT uchaguzi uliopita kule Zanzibar, huyu jamaa ni mzuri ila tatizo lake mi naona hutumia muda mwingi kwa kueleza jambo dogo tu hilo tu ana derere ndo ananiboa anapenda kurudia rudia hayuko mwepes kama vile maalim kwenye kueleweka. Lakini ukweli ni kwamba Zanzibar inamuuma sana.
 
Back
Top Bottom