Dkt. Bashiru Ally ni Public Servant au Civil servant?

Dkt. Bashiru Ally ni Public Servant au Civil servant?

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,149
Wanabodi, Leo ndio nimeamini Kiswahili ni muhimu sana kuliko hizi lugha za kigeni, Watu wameshindwa kuelewa haya maneno ya kiingereza yanatumika kwa kupishana (Interchangeable) na yana maana moja katika muktadha tofauti

Public servant au Civil servant hutumika kwa mtu yeyote anayefanya kazi za uma au jamii na kulipwa pesa za walipa kodi

Public servant au Civil servant anaweza akawa yupo kwenye taasisi za serikali , Serikali za mitaa au Serikali kuu na amechaguliwa kufanya kazi hiyo

Walimu, Polisi, Madaktari ,Wauguzi wote hao ni Public servant au Civil servant endapo tu wanalipwa kodi za uma


Public servant au Civil servant baada ya kuchaguliwa au kujiunga yampasa kutofanya kazi za kisiasa yaani(Political related)

Kuna watu wanahoji eti Rais amevunja katiba ni katiba ipi mnayoongelea ambayo inasema Public servant au Civil servant haihusishi vyuo vikuu hasa chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya uma na wafanyakazi wake wanalipwa kodi za wananchi hivyo basi Dkt Bashiru yeye pale Chuo kikuu anahesabika ni mwalimu wa uma(Public Servant) anayeelimisha jamii (Social Servant) ambaye yupo likizo.

Dkt Bashiru Ally pamoja na Dkt Kitila Mkumbo pale chuo kikuu wanahesabika ni watumishi wapo likizo, Kazi zao za uteuzi kwenye nafasi za uma yaani Public Servant au kwenye nafasi za jamii yaani Social servant haziwazui kurudi chuo kikuu baada ya kuacha

Hoja ya kuwa Bashiru ni Public servant au Civil servant ni watu kukosa uelewa na tafsiri ya maneno.

Hoja hupingwa kwa hoja mwenye hoja kuwa Bashiru sio Public servant au Civil servant alete Definition zake hapa toka kwenye shule zake za kata au toka Oxford School of linguistic ili tumsaidie kutafsiri kwa kiswahili na sio kutafsiri kwa kinyakyusa au kichaga.

Hongera Rais Magufuli, Watapambana lakini hawatashinda, Tutaendelea kutumia ShiKwambi (Shinda kwa mbinu) na mwaka 2025 ni ushindi usio na kifani (landslides Victory)

Naunga mkono Serikali na Mahakama waendelee kutafsiri sheria na kanuni ziwe kwa kiswahili maana lugha za kigeni ni tatizo kubwa watu wanajadili maneno yenye maana moja yaani Public na Civil servant bila kuangalia context (au Muktadha)
 
Umejitahidi kupambaniua jinsi utumishi wa Bashiru ulivyo.

Shida yako ni hiyo shikwambi ndipo shida ilipo, siku ikiwageuka, usijeiona dunia chungu itawabidi mvumilie kama wao walivyo wavumilia.

Mnyama wahed wewe
 
Ni kweli kwamba Bashiru alikuwa mtumishi wa umma.

Sio kweli kwamba Bashiru alikuwa likizo. Hapo unatudanganya.

Mtumishi wa umma ukishaenda kwenye siasa tuu na utumishi wako unakufa palepale na endapo utataka kurudi kuna procedures za kufuata, hauwezi kwenda kuripoti directly kwa mkuu wako wa kazi as if umetoka normal leave, NEVER.

Na ndio maana akapewa cheo cha ubalozi kwanza kabla hajapewa u-CS kwa maana vinginevyo angetakiwa kufanya mchakato wa kurudi UDSM kwanza kabla hajateuliwa kuwa CS.
 
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumegongwa Sana Ndugu Zangu

Vyovyote Mtakavyosema Najua Mmenielewa
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu




Tanzania Ni Tajiri
Wewe Mama Unataka Kupanuliwa Wapi?


😅😄😃🤣😂😁😀😅😄😃🤣😂😂😂😁
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Mleta mada unaweza mkuta nae ni moja ya waluopita apo UDSM aisee
 
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumegongwa Sana Ndugu Zangu

Vyovyote Mtakavyosema Najua Mmenielewa
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu




Tanzania Ni Tajiri
Wewe Mama Unataka Kupanuliwa Wapi?


[emoji28][emoji1][emoji2][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji3][emoji28][emoji1][emoji2][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Bashiru bado ni KM wa CCM nafasi ambayo bado mkataba wake haujavunjwa. Hata kama ameteuliwa na kuapishwa kuwa balozi sambamba na kupewa hiyo nafasi yake mpya, bado ukweli unabakia pale pale kuwa kuna mgogoro katika utumishi wake wa umma.

Huyu bado ni kiongozi mtendaji wa chama kilichopo madarakani, na tena katika mojawapo ya nafasi za juu sana. Ni lazima ifike wakati viongozi wetu waanze kutii katiba ya nchi. Uvunjaji wa makusudi wa masharti ya katiba bila ya uwepo wa jambo la dharura, eti tu kwa kigezo cha kuwa na mamlaka makubwa yasiyoweza kuhojiwa ambayo mtawala amepewa na katiba hiyo hiyo ni jambo lisilokubalika.
 
Ndugu watu wenye mandate ya kuendesha nchi ni chama tawala; jukumu la civil servant m ni ku-implement namna sahihi ya kuitekeleza ilani yao.

Ndio maana nimemuelewa Magufuli kumteua Dr Bashiru kama katibu mkuu kiongozi; civil servant don’t understand their obligations na chama kilichopo madarakani.

Kwa mtazamo huo nadhani you should know who is the imbecile.
Hivyo katiba imesema anatokana miongoni mwa watumishi wa umma, sio watumishi wa chama tawala, vinginevyo katiba irekebishwe!
 
Serikali ni executive branch kama hujui ambayo inaongozwa na raisi akisaidiwa na baraza lake la mawaziri; sasa jiulize hao watu agenda yao nini zaidi ya kutimiza ilani yao ya uchaguzi katika muda wao.

Tatizo lenu mnasoma sheria husika miongozo without understanding the principles behind that particular law.
speaking of agenda. you do realize kuna katiba, kuna sheria zingine ndogo zinazosimamia utumishi wa umma.
even if they have agenda, they are forced kucheza pale pale kwenye sheria za utumishi.. lakin kabwe.. ilani ya chama si sheria.. si muongozo kazi.
otherwise labda watumie mabavu. ila ilani doesnt add anything to utumishi wa umma.
 
Bashiru bado ni KM wa CCM nafasi ambayo bado mkataba wake haujavunjwa. Hata kama ameteuliwa na kuapishwa kuwa balozi sambamba na kupewa hiyo nafasi yake mpya, bado ukweli unabakia pale pale kuwa kuna mgogoro katika utumishi wake wa umma.

Huyu bado ni kiongozi mtendaji wa chama kilichopo madarakani, na tena katika mojawapo ya nafasi za juu sana. Ni lazima ifike wakati viongozi wetu waanze kutii katiba ya nchi. Uvunjaji wa makusudi wa masharti ya katiba bila ya uwepo wa jambo la dharura, eti tu kwa kigezo cha kuwa na mamlaka makubwa yasiyoweza kuhojiwa ambayo mtawala amepewa na katiba hiyo hiyo ni jambo lisilokubalika.
Nani alikwambia Chuo kikuu cha Dar es Salaam kinaruhusu mwalimu kuwa mwanasiasa?Unaomba ruhusa halafu unaenda kwa aliyekuteua

Rais kwa katiba yetu ya Tanzania ni kila kitu na katiba tuliitunga wenyewe

Rais ana mamlaka kuu, Someni katiba ya nchi sio mnalalamika hapa

Hata mtu ambaye sio mwanasiasa wala mtumishi wa uma Rais anaweza mfanya Public servant kwa kumteua
 
Je, civil servant unaijua mipaka yake katika nyanja ya siasa?
Nenda maktaba kanunue articles zinazomhusu mtumishi wa umma na mipaka yake ndipo uje uandike upumbavu wako.
Halafu ni lazima utambue utofauti wa public servant na civil servant.
Huwezi kusema ugali na ubwabwa ni kitu kimoja.
 
Mtumishi wa umma akiingia kwenye siasa utumishi wake unakoma, hawi likizo nnavojua mimi!
 
C0BD17B9-A985-4A1B-B768-95A182A80EBE.jpeg


Hiyo ndio definition inayotakiwa kutumika on what is a Civil Servant kwa nchi za madola.

You can google the Tomlin Commission, yeye na team yake walipewa kazi ya kutafsiri majukumu ya civil services.

Kwa ivyo Dr Bashiru as a Lecturer ni civil servant. In other words mtumishi yoyote anaefanya kazi serikalini au taasisi zake ambazo zipo chini ya wizara ni civil servant.
 
Je, civil servant unaijua mipaka yake katika nyanja ya siasa?
Nenda maktaba kanunue articles zinazomhusu mtumishi wa umma na mipaka yake ndipo uje uandike upumbavu wako.
Halafu ni lazima utambue utofauti wa public servant na civil servant.
Huwezi kusema ugali na ubwabwa ni kitu kimoja.
Lete definition zako hapa umeambiwa toka Harvard school of linguistic

Wewe Mwanafunzi wa Teofilo kisanji na St Augustine kaa kimya

Hivi wewe una akili kweli

Umeambiwa anayelipwa pesa za uma

Baahiru analipwa na Baba yako?
 
Back
Top Bottom