Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake.
Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura...
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi imepiga marufuku baa zinazouza mbege kufunguliwa pamoja na kupika chakula kwenye misiba.
Katazo hilo limetolewa leo Ijumaa Machi 5, 2021 na mwenyekiti wa...
Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas ametoa onyo kwa vyombo vya habari na watu binafsi kutoa taarifa za maradhi, vifo au wagonjwa bila kuzingatia misingi ya utoaji wa taarifa kwa...
DC Jerry Muro ni DC kijana na mchapa kazi kwani katika wilaya yake anewezesha uanzishwaji wa Shule ya mchepuo wa kingereza yaani English Medium.
Katika mkoa wa Arusha kuliwahi kuwa na Shule ya...
Nakumbuka marais hawa wawili waliwahi kuzungumza kwa simu hata kabla ya uchaguzi wa mwaka jana 2020 .Rais Magufuli alisema amezungungumza na Rais mwenzake wa Kenya mh Kenyatta na kuweka mambo sawa...
Kila baada ya uchaguzi mkuu imekuwa ni jambo la kawaida kusikia wapinzani wa wakilalamika kuwa wameibiwa kura. Jambo ambalo W anaCCM huwa wanakanusha. Lakini hiki kilio cha wizi wa kura ni cha...
Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi.
Nchi zingine zimeenda...
Namshukuru M/Mungu , kwa kutupa utulivu na amani, mhe ris mwinyi , uchaguzi umekwisha na umefanikiwa kuanzisha furaha na upendo uliokuwa umeanza kutoweka hususani mara baada ya...
Ni kweli watanzania wanataka maendeleo, hata kinachofanyika sasa kuendeleza miundo mbinu, sekta za afya na elimu ni muhimu.
Ni kweli kabisa haya maendeleo ya kujenga Ma SGR, flyovers na madaraja...
Hivi karibuni kumekuwa na matamko mfano hatujapewa taarifa kwamba kwenda kuhiji ni lazima mahujaji wawe wamechanjwa chanjo ya Corona AU hatujapewa taarifa toka Kenya kwamba mahindi toka Tanzania...
Siku100 za KISHINDO kuanzia Tarehe 15 - 30 Machi, 2021 za wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Taasisi zake chini ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja.
Mghwira amesema...
MGODI wa Buzwagi ulioko Kahama mkoani Shinyanga, unatarajia kufunga shughuli za uzalishaji wa madini Juni, mwaka huu.
Meneja wa Ufungaji wa Mgodi na Mazingira wa mgodi huo, Rebecca Stephen...
Wagalatia 6:7
"Msidanganyike Mungu hadhiakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna"
Kuna wengine wameshavuna, wengine wanavuna, wengine watavuna.
Lakini mavuno ya jumla ni siku ya Hukumu.
Kuwa...
Salaam Wana JF.
Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na...
Nakukejeliwa na Vijana wa Ukawa (Ufisadini) baada ya Rais Kutweet wakawa wanamkejeli
Mda huu napitia kwenye Ukurasa wangu wa Twitter nakutana Na maneno yaleyale "" On Behalf of Myself"" Vijana...
hali ya maendeleo katika wilaya ya Same imedorora tangu Dr.Mathayo na Anna Kilango wachaguliwe kuwa wabunge wa same magharibi na same mashariki. hali ya ELIMU ni mbaya sana. wilaya ya same...
Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea...
Hawa wanasiasa wawili ni wanafiki sana. Wao siasa ni biasahara na kujaza matumbo yao.
Na kwa sababu wao ndio wameshika mipini ya vyama vya Siasa vya Upinzani ni wazi kuwa wao ndio sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.