Nikiangalia Tweet ya Rais Trump na ya Rais Magufuli aisee tuna Rais ana akili sana poleni Mafisadi

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Nakukejeliwa na Vijana wa Ukawa (Ufisadini) baada ya Rais Kutweet wakawa wanamkejeli

Mda huu napitia kwenye Ukurasa wangu wa Twitter nakutana Na maneno yaleyale ""
On Behalf of Myself"" Vijana wa Chadema Wanaona siyo Kiingereza Sahihi.

Tweet ya Rais Magufuli Tarehe 26/11/2016 Saa 8:58PM
IMG_20170526_235649_908.JPG

Tweet ya Rais Trump Usiku ambayo Vijana wa Chadema hawatapenda Kuiona aibu kwa Mafisadi.

IMG_20170526_235452_896.JPG

"On behalf of myself"-Sizonje
"On behalf of FLOTUS Melania"-Trump
Naamini kama akili yako iko sawa utagundua kitu ila kama ndio wadogo zake Bashite mmechukua akili za baba yenu kazi itakua ngumu hapa,ivi kwani ni dhambi kukubali Sizonje lugha ya Malkia haimudu?na sio kujua kiingereza ndio kipimo cha werevu.
 
"On behalf of myself"-Sizonje
"On behalf of FLOTUS Melani"-Trump
Naamini kama akili yako iko sawa utagundua kitu ila kama ndio wadogo zake Bashite mmechukua akili za baba yenu kazi itakua ngumu.
Mkuu hata Kusoma Hujasoma angalia hapo kwenye neno "and" Kama umeona kuna Utofauti basis Kwa akili ya Kwako Mbowe na Darasa la 7 atawatawala Mpaka Mnaingia Kaburini.
 
Heshima Mkuu!

Naona unatafuta saikolojia ya kujifariji.Meli inapoanza kuzama unatafuta pa kushikilia, unaweza hata kushikilia karatasi kwa kudhani kuwa itakusaidia kumbe sivyo.

Hivi "Trump" hawezi kukosea kuandika?.
 
Mbona ziko tofauti? Zingekuwa sawa kama Trump angeandika 'On behalf of myself and @FLOTUS Melania' kama alivyoandika Magufuli au kama Magufuli angeandika 'On behalf of the people of Tanzania and myself' kama alivyoandika Trump. Otherwise haziko sawa. Je kuna alokosea??? Hilo sijui
 
So Trump naye Kakosea What a dickhead you are?
 
Yaani unakosa hataa jinsi ya kuandaa thread nzuri yenye akili ya kusifia. Unaandika vitu vya ajabu ajabu. Akili za kibashitw hizi. Wenzako hawasifiagi hivo,create uzi wenye akili hataa mtu akiusoma anaona kuna jambo. Hivi nani anawachuja nyie lumumba kwa interview maana wote vilaza tu. Polepole ajirini vijana wenye akili kufanya hii kazi.
 
Mbona ziko tofauti? Zingekuwa sawa kama Trump angeandika 'On behalf of myself and @FLOTUS Melania' kama alivyoandika Magufuli au kama Magufuli angeandika 'On behalf of the people of Tanzania and myself' kama alivyoandika Trump. Otherwise haziko sawa. Je kuna alokosea??? Hilo sijui
Haziko sawa hakuna Aliyekosea
 
Mbona ziko tofauti? Zingekuwa sawa kama Trump angeandika 'On behalf of myself and @FLOTUS Melania' kama alivyoandika Magufuli au kama Magufuli angeandika 'On behalf of the people of Tanzania and myself' kama alivyoandika Trump. Otherwise haziko sawa. Je kuna alokosea??? Hilo sijui
Zote sawa mkuu. Ni kama kusema Juma and I went to the market na I and Juma went to the market. Sema ya kwanza hiyo ndio hutumika sana.
 
Back
Top Bottom