Neno la Leo: "Apandacho mtu ndicho atakachovuna"

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Wagalatia 6:7
"Msidanganyike Mungu hadhiakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna"

Kuna wengine wameshavuna, wengine wanavuna, wengine watavuna.

Lakini mavuno ya jumla ni siku ya Hukumu.

Kuwa makini na mienendo yako sasa maana mavuno ya maamuzi yako hayaepukiki.

Mungu awabariki.

Wengine kanuni hii ya dhahabu wameiita KARMA.
 
ukichoma vifaranga vya watu wakijibu mapigo usilie
 
Back
Top Bottom