Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Kilimo Prof Mkenda amesema kesho zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige litaendelea baada ya rubani aliyetelekeza ndege pale Kilimanjaro kurejea. Mkenda amesema kuna kundi la nzige wadogo...
2 Reactions
70 Replies
8K Views
Wanna Jf, Tanesco Tegeta wanafanya hujuma na ukatili wa hali ya juu, lengo kuzikataa mita za Baobab zinazotengenezwa Tanzania. Nimesema hivyo baada ya kufanya tafiti zifuatazo. 1. Tanesco...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya. Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni...
31 Reactions
176 Replies
16K Views
Nchi ya Uganda, ambayo ni mwanachama wa EAC, anakusudia kuwashtaki wanachama wenzake, Tanzania na Kenya kwenye mahakama ya East Africa, kama mazungumzo hayatazaa matunda. Nchi ya Kenya...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dk.Maulid Madeni amesema halimashauri hiyo, haitalipa Sh.bilioni 1.9 za fidia kwa wananchi wa Kata ya Olasiti katika eneo la Mradi wa kituo cha Mabasi...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Ushahidi huu hapa ni kielelezo cha ubora wa Taasisi hii kuongoza kwa sasa Africa na pengine duniani , kwa taasisi ambayo karibu viongozi wake wote wanakabiliwa na kesi mahakamani huku kukiwa na...
28 Reactions
90 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa simulizi ya Dereva wa Tundulisu, ni kwamba Dereva alishuhudia tukio zima la upigwaji Risasi wa Tundu Lisu. Dereva alishuka kwenye gari bila wauwaji kumuona na akaingia kwenye...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Wengi hushangaa wakisikia mtu asiye na kazi nchi zilizoendelea kuwa hulipwa posho kila mwezi na serikali Siri yake ndogo tu ni kuwa miradi mikubwa ya maendeleo mila pesa nyingi kama mabarabara...
11 Reactions
86 Replies
8K Views
Nimesikitishwa na tabia ya Waziri wa ardhi, aliyoionesha akiwa Mwanza wakati baadhi ya wananchi walipomfuata kutoa malalamiko yao. Waziri badala ya kuwa msikivu na kuuliza maswali ya kiufumbuzi...
25 Reactions
128 Replies
12K Views
Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa. Nchi...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Mwanafalsafa Ayoub Ryoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa TBC amesema Mwalimu Nyerere alipenda zaidi Tanzania na Kenya ziungane na kuwa nchi moja. Dkt. Ryoba anasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15. Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara. LIVE: YouTube...
6 Reactions
34 Replies
6K Views
Wapendwa salaam! Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Hawa ndiyo baadhi ya viongozi tunao wahitaji kwa sasa wanaosema ukweli bila kuwazia nafasi zao za kibarua. Kwenye rangi nyeupe tuseme ni nyeupe na pale kwenye nyeusi tuseme ni nyeusi.
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo. Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua...
8 Reactions
93 Replies
9K Views
Kila mtu anajua kilichowakuta waliokuwa wachimbaji wa madini huko Morogoro. Mauti iliwakuta pasipokuwa na hatia. Sauti zikapazwa kupinga uonevu uliofanyika. Polisi wakasema walikuwa ni majambazi...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar leo ametangaza rasmi kuwa Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa korona na ametaka taadhari za lazima sasa zichukuliwe. Kauli hii ni ya kwanza kutolewa na kiongozi wa juu wa serikali...
41 Reactions
151 Replies
16K Views
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali. Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na...
22 Reactions
128 Replies
15K Views
Naibu waziri wa Afya, maendeleo ya jamii jinsia na watoto, ametangaza kusimamishwa kazi kwa watumishi watatu wa Halmashuri ya wilaya ya Ngara, ikiwa ni pamoja na mganga mkuu wa wilaya hiyo kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom