Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

When I was still a young boy, I blamed rebels, I held them accountable as cynical murderers who had no reasons to be armed for political reasons. As I grew up and started having understandings, I...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA. Tanzania na Kenya Zimalize Mzozo Kidiplomasia - Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe ameitaka Serikali ya Tanzania kukaa mezani na...
16 Reactions
169 Replies
14K Views
SERIKALI imesema inaendelea na jitihada za kukabili maambukizi mapya ya virusi vya Corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 kwa kutafuta tiba mbadala, huku ikibainisha kuwa licha ya kutumia...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha...
11 Reactions
275 Replies
25K Views
Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021. Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kupambana kutafuta namna mbalimbali za kutengeneza kipato kwa wananchi wenzake ambapo kwa siku ya jana tarehe 23/02/2021 alikutana...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda. Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana...
8 Reactions
164 Replies
12K Views
Inashangaza sana kuona watu wanailaumu nchi ya Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania kuingizwa nchini humo. Watu wengi wanailaumu Kenya kana kwamba haina mamlaka ya kulinda raia wake na mipaka yake...
26 Reactions
97 Replies
7K Views
Huku serikalini amekanyaga katiba kwa kiwango kikubwa, ameikanyaga mihimili mingine (bunge na mahakama) kwa kiasi cha kutisha. Amevunja sheria na taratibu za utumishi na watumishi kwa kiasi...
32 Reactions
185 Replies
19K Views
Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna msemo kuwa ili kupata matokeo yasiyo ya kawaida, ni lazima kwanza kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida . Sote tunakubaliana kuwa ili kukuza uchumi wetu, kwa vyovyote vile ni lazima tukuze...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Watu huangamia kwa kukosa maarifa, lakini watu huangamia kwa upumbavu wao au kiburi chao. Sisi kama Taifa na dunia kiujumla tunalo la kujifunza kutoka Uchina na nchi za Asia, kulekule ambapo...
11 Reactions
54 Replies
4K Views
Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hoteli kubwa na matokeo kupelekwa kwa mamlaka husika kwa njia ya elektroniki. Hii inafuatia...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeingia mkataba na Serikali ya Jamhuri ya Korea kupata mikopo ya masharti nafuu kutoka Mfuko wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EDCF) yenye thamani ya hadi...
7 Reactions
102 Replies
9K Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe ametoa wiki moja kwa Mkandarasi kuhakikisha anaifanyia marekebisho Barabara ya Keko ili iweze kupitika kiurahisi. Gondwe ametoa agizo hilo leo alipofanya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukiangalia maoni ya wana CHADEMA mitandaoni, kufuatia huli suala la Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania na Uganda utaona kabisa hawa jamaa wana ihofia sana Kenya na pengine wanahisi inaweza hata...
20 Reactions
146 Replies
7K Views
Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani...
16 Reactions
99 Replies
8K Views
Waziri wa Kilimo Prof Mkenda amesema kesho zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige litaendelea baada ya rubani aliyetelekeza ndege pale Kilimanjaro kurejea. Mkenda amesema kuna kundi la nzige wadogo...
2 Reactions
70 Replies
8K Views
Wanna Jf, Tanesco Tegeta wanafanya hujuma na ukatili wa hali ya juu, lengo kuzikataa mita za Baobab zinazotengenezwa Tanzania. Nimesema hivyo baada ya kufanya tafiti zifuatazo. 1. Tanesco...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom