Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
Kila mtu anajua kilichowakuta waliokuwa wachimbaji wa madini huko Morogoro. Mauti iliwakuta pasipokuwa na hatia.
Sauti zikapazwa kupinga uonevu uliofanyika. Polisi wakasema walikuwa ni majambazi. Jakaya Kikwete akaunda tume. Ukweli ukajulikana na kesi ikaunguruma.
Je, kiongozi wetu wa sasa anaweza kusikia kilio kama alivyofanya Jakaya mpaka haki ikapatikana?