Prof Lipumba: Taswira ya Tanzania kimataifa iliyoachwa na Mwalimu Nyerere, Rais Magufuli ameiharibu. Ni aibu kubwa kutoshirikiana na WHO

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
1,890
2,000
Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa.

Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata chanjo ya Covax.

Leo hii mataifa ya nje yanaisema vibaya Tanzania juu mapambano ya Covid 19. Haijabadili takwimu tangu March 2020.

Prof Lipumba amedai kuwa Mwl Nyerere aliunda taifa lenye ushirikiano na jumuia za kimataifa na hata marais waliopita waliundeleza. Leo hii ni rais Magufuli ameuharibu.

IMG_20210307_182735.jpg
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
9,891
2,000
Kwa sasa ndo wanapata akili hao ccm B

Wanafiki wakubwa ,siku zote hizi watu wanakufa kwa corona wamekaa kimya , leo ndio wanaamka eti Jiwe kaharibu taswira ya nchi duniani!!! Lipumba hana moral authority ya kumshambila Jiwe kwani yeye amekuwa mpiga debe wake all along. He has been one of his main enablers and hence one of the people to be accountable for all these gaffes.
 

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,409
2,000
Hata mwalimu angefufuka angewagomea walami kwenye hili sakata la Covid 19
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom