BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,230
Ushahidi huu hapa ni kielelezo cha ubora wa Taasisi hii kuongoza kwa sasa Africa na pengine duniani , kwa taasisi ambayo karibu viongozi wake wote wanakabiliwa na kesi mahakamani huku kukiwa na shinikizo kwamba ni lazima wafungwe Jumanne ijayo , hili si jambo la kawaida .

Ikumbukwe kwamba nchi hii kuna jumuiya zingine za wanawake zenye utulivu na zisizo na viongozi wenye kesi hata moja lakini zilizojaa viongozi vikongwe wasio na jipya na waliokosa maono , zimefunikwa vibaya mno na BAWACHA .

Kujenga taasisi mpaka ifikie kiwango hiki sio kazi ndogo.Wanawake hawa wametoka  ( 640 X 640 ).jpg

Bawacha Mlimani city ( 360 X 640 ).jpg
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akitembelea kujionea kazi za wajas ( 452 X 640 ).jpg


Pichani ni Mwenyekiti wa Chadema akiingia kwenye kongamano la BAWACHA kuhutubia

Mgeni Rasmi wa Shughuli ya Bawacha katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, ( 452 X 640 ).jpg

Mgeni Rasmi wa Shughuli ya Bawacha katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, ( 452 X 640 ).jpg


Mwanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Vicensia Shule ambaye ni mmoja  ( 452 X 640 ).jpg

Vicensia shule akimwaga mada

Mwanaharakati wa masuala ya Uhuru wa Habari, Demokrasia na Utawala Bora, Maria S ( 452 X 640 ).jpg

Maria Sarungi akitoa neno

Mmoja wa wanasheria maarufu nchini na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, Demokra ( 426 X 640 ).jpg

Fatuma Karume akiingia ukumbini

Instagram media - B9eSTIRAMgv ( 335 X 640 ).jpg

Kijo Bisimba ndani ya nyumba

Mwanazuoni na mwanaharakati wa masuala ya Haki za Binadamu, Demokrasia na Utawal ( 452 X 640 ).jpg

Dr Azavel Lwaitama akimwaga mada
 
Back
Top Bottom