Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilizoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote. Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Wakuu Kwema, Nimewaza Tanzania tunatumia Bidhaa nyingi sana kutoka Kenya. Za matumizi ya ndani ya Mwili wa Binadamu, mpaka matumizi ya nje ya Mwili wa Binadamu na matumizi mengine. Kuanzia Dawa...
14 Reactions
179 Replies
12K Views
This image below is the tracking of AMREF Health Africa airplanes airlifting prominent Tanzanians to Kenya to save their lives.
17 Reactions
161 Replies
23K Views
TAARIFA KWA UMMA HALI YA MAAMBUKIZI YA COVID- 19 NCHINI TANZANIA NA HATUA ZA KUCHUKUA Ndugu wanahabari! Karibuni tena kwenye Ukumbi huu wa Shaaban Khamis Mloo ambapo CUF- Chama Cha Wananchi...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Tanzania is likely to emerge in the coming months as the fastest growing economy in Africa in 2020. This projection is based on data collected by Citi Researchers for Q3, 2020 which puts...
1 Reactions
1 Replies
863 Views
Serikali ya Tanzania imesema mazungumzo yanaendelea kati yake na Serikali ya Kenya kuhusu kuzuiwa kwa mahindi katika mpaka wa Namanga. Zuio la mahindi kutoka Tanzania lilitolewa Machi 5 2021na...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Diwani alia na Bei za Vifurushi na Tozo za Miamala Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano na Teknolijia ya Habari Inayoongozwa na Waziri Dkt Ndungulile imetakiwa kumsaidia Mhe Rais Magufuli kazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
~ Wahamasika kusimamia miradi ya ujenzi ya kimaendeleo. ~ Shilatu aunga mkono ujenzi. Na Mwandishi wetu Mihambwe Wananchi wa kata ya Michenjele iliyopo Tarafa ya Mihambwe wamepewa darasa fupi...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Kuna minong’ono nong’ono ishaanza kusikika toka kwa baadhi ya watu juu ya maandamano ya kupinga yaliyotokea kipindi cha chaguzi maalumu zilizomalizika wiki jana. Niwajuavyo Watanzania, sidhani...
11 Reactions
212 Replies
17K Views
Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo: Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile, amesema kuwa online TV zote ambazo zinafanya mahojiano ya kudhalilishana na zile zinazokiuka maadili na utamaduni wa nchi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kumekuwa na tabia ambayo inataka kufanywa kama utamaduni wa kawaida kwa siasa za Tanzania. Siasa zenye mrengo wa kulenga uchaguzi zaidi na vyama vya siasa kubweteka kwa miaka mitano bila kufanya...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Kama nilichokisikia ni kweli, naipongeza serikali kwa kubuni njia nzuri ya kupambana na ufisadi kwenye sector ya ardhi. Lukuvi anasema ataunganisha namba ya mmiliki ya NIDA na taarifa za...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
WIZARA YA AFYA INASAHAU KAMA INASHUGHULIKIA NA WATOTO PIA. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Makutano ya Kinondoni road na Ali Hassan Mwinyi road eneo la Stanbic yamegeuka makazi rasmi ya...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau wa JF na Wazalendo, Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni...
2 Reactions
83 Replies
7K Views
World Bank imetuchamba kizungu: Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi. Mara Warwick amesema katika hotuba yake kuwa Serikali ya Tanzania ilichukua hatua za mapema za kuondokana na athari za...
8 Reactions
99 Replies
11K Views
Ukifuatilia mjadala unaoendelea TBC juu ya chanjo ya COVID-19 na maswala ya uzalendo utangundua kuwa bado tuko na matatizo makubwa Africa. Ukiutizama mjadala umejikita juu ya kuuponda ukoloni...
80 Reactions
214 Replies
15K Views
Lowasa ni mtu maarufu sana kwa Wana CCM, amekuwa CCM kwa miaka 38. Kwa sura yake peke yake, itasababisha mamilioni ya wanaCCM walioko vijijini, ambao uelewa wao ni mdogo, au wasiojua kusoma kuweka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Fuatilia hii hadi mwisho, Hii ndio style itakayotumika UKAWA mtaa kwa mtaa, kitongoji kwa kitongoji, kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, wilaya kwa wilaya.
6 Reactions
69 Replies
16K Views
Back
Top Bottom