Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi sasa nchi imegubikwa na katabia kilichoanzishwa na wanasiasa na wanaharakati vidole ,wanakiuka yale maadili yetu au bila haya wameamua kupotosha kwa kutangaza taarifa za misiba bila idhini ya...
9 Reactions
117 Replies
9K Views
Tunakumbushwa kufatilia historia ya taifa letu. Zilifanyika juhudi kubwa kabla ukoloni, ukoloni na baada uhuru kujenga ustawi na umoja wetu. Better late than never tusipotezee mazila chaguzi...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema siku hizi kumejitokeza tabia ya baadhi ya Vijana kuwa na viburi Shuleni, akisema anatamani viboko viwepo kweli. Ameongea hayo wakati akizungumza na...
6 Reactions
68 Replies
7K Views
Baadhi ya wanaume wanaoishi mikoa ya Kanda ya Ziwa nchini Tanzania wameombwa kujitokeza kwa wingi kufanyiwa tohara ili kuepuka magonjwa. Wito huo umetolewa leo Alhamisi Machi 4, 2021 na Waziri wa...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Mh. Rais, kwenye ualimu kuna program tunaita STAFF DEVELOPMENT. Kwamba kila mwaka kuwepo na utaratibu endelevu wa walimu kwenda kuendeleza taaluma zao ili kukuza ufanisi. Huko nyuma walimu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukiangalia siku ya Dunia ya wanawake march 8 mwaka huu utaona kwa uwazi kuwa jumuia ya wanawake CCM (UWT) imedorora au kwa usahihi kabisa imejifia wakati wenzao ambao hawana fedha wala support ya...
17 Reactions
28 Replies
5K Views
Leo tarehe 9 Machi 2021 Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa CHAUMMA Ndugu Hashim Rungwe Ofisini kwake Makumbusho, Dar es salaam. Katibu Mkuu...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Jumbe amekuwa mgombea...
3 Reactions
42 Replies
11K Views
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa mnajidanganya kuwa kuwa makosa yenu ya kumpiga risasi bila hatia Lissu,watu watayasahau ukweli ni kuwa hayatasahaulika. Huu utawala unaowalinda utapita na...
27 Reactions
84 Replies
9K Views
Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola...
26 Reactions
65 Replies
6K Views
Wazungu wenyewe wanakiri kuwa corona virus is a moving target. Kwa maneno mengine ni kwamba kirusi cha corona ni shabaha inayotembea. Ili kuielewa dhana hii nitatumia mfano rahisi. Tufananishe...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema. Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ndugu wana JF, Nadhani ni muda muafaka sasa wa kufuta mfumo wa vyama vingi vya siasa. Sababu; 1. Maisha enzi za chama kushika hatamu yalikuwa ya upendo, umoja, amani na heshima. Tofauti na sasa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanajamvi Amani kwenu Hivi leo dunia imebadilika, majra nayo na nyakati zinazidi kubadilika Huko tuendako, kwa sababu ya milipuko ya magonjwa na masharti yanayotokana na milipuko hiyo ya...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa gazeti la The East African ni kuwa mfumo mzima wa umeme utakaotumika kuendesha treni kwenye awamu hii ya kwanza toka Dar mpaka Morogoro umekamilika. Na ulikuwa ufanyiwe majaribio...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Kuna watu wanashangilia kila kitu, hata usielewe kipi kwao ni kipaumbele. 1. Wakija Nzige wanashangilia 2. Wakisikia mlipuko wa magonjwa wanashangilia 3. Maharamia wakijaribu kuvamia nchi...
14 Reactions
93 Replies
8K Views
DKT. BASHIRU ADADAVUA UMUHIMU WA MKOA WA TABORA KIHISTORIA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ameeleza kwa undani umuhimu wa mkoa wa Tabora kihistoria, ikiwa ni pamoja na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana ujinga si tusi bali ni hali halisi ya kuwa na uelewa mdogo au kutokuwa na uelewa kabisa kuhusu jambo fulani. Hayupo binadamu mmoja asiyekuwa na ujinga katika mambo yote. Kwamba...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom