Kwa kuwa CHADEMA wamesusia ruzuku, hizo pesa zielekezwe kwenye elimu

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,952
2,000
Wadau wa JF na Wazalendo.

Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni.

Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango nayo.

Sasa kama zilitengwa mil 104 kwa ajili ya CHADEMA ili wawe wanajilipa na wao hawazitaki kisa tu wanadai walionewa Oktoba 28 mwaka 2020. Kwa nini zisihamishiwe kwenye sekta ya elimu?

Juzi hapa Naibu Waziri wa Tamisemi ameonekana kwa aibu huko Mtwara watoto wakimlilia wakitaka madawati na madarasa. Hizi pesa zikipelekwa huko zitasaidia watoto wetu.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,952
2,000
Kwa serikali hii, yaweza pora ruzuku ya chadema, itakuwa ni mwendelezo wao ktk kukidhoofisha, walianza kwenye uchaguzi s/mitaa, uchaguzi mkuu, viti maalumu, sitashangaa wakichukua ruzuku, hawana aibu, hakuna cha kufanya!
Chadema wamesema hawana shida na ruzuku.
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
1,607
2,000
Wadau wa JF na Wazalendo.

Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni.

Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango nayo.

Sasa kama zilitengwa mil 104 kwa ajili ya Chadema ili wawe wanajilipa na wao hawazitaki kisa tu wanadai walionewa Oktoba 28 mwaka 2020. Kwa nini zisihamishiwe kwenye sekta ya elimu?

Juzi hapa Naibu Waziri wa Tamisemi ameonekana kwa aibu huko Mtwara watoto wakimlilia wakitaka madawati na madarasa. Hizi pesa zikipelekwa huko zitasaidia watoto wetu.
Hakuna Cha kuchanganya hapa, msimamo wa CHADEMA tz upo wazi tangu mwanzo kuhusu ruzuku yenu, nyie ndo mlikua mnachochea, chadema imesimama zaidi na wananchi iyo ruzuku yenu hawataki nawambieni Sasa msikiena niabu KWA mawazo YAKO kwamba serikali inakosa PESA za kupeleka kwenye elim mpaka kuvizia chadema kukataa ruzuku, hivi mna akili gani hii
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,952
2,000
Hakuna Cha kuchanganya hapa, msimamo wa CHADEMA tz upo wazi tangu mwanzo kuhusu ruzuku yenu, nyie ndo mlikua mnachochea, chadema imesimama zaidi na wananchi iyo ruzuku yenu hawataki nawambieni Sasa msikiena niabu KWA mawazo YAKO kwamba serikali inakosa PESA za kupeleka kwenye elim mpaka kuvizia chadema kukataa ruzuku, hivi mna akili gani hii
Kama serikali imekosa pesa ingetenga mil 104 kwa ajili ya Chadema?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom