Video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihutubia Bunge la Kenya na mustakabari wa uhusiano wetu

Mleta mada mimi simo... Siyo kwa kufukua kaburi namna hii...

Kwa hiyo unataka kusema kwa kinachoendelea sasa kwenye uhusiano wa Tanzania na Kenya ni kwamba... Nini tena?

Endapo kama ukimnukuu Rais mstaafu...

Cc: mahondaw
😂😂😂😂😂 za kuambiwa changanya na zako
 
Sikiliza moja ya hotuba nzuri za JK akionyesha namna Jumuiya ya Afrika Mashariki na hususan uhusiano kati ya Tanzania na Kenya utakavyodumu.
 
Alisema anayeweza kuharibu uhusiano na Kenya ni mpumbavu, kisha akasema wapumbavu Tanzania ni wachache kwahiyo hilo haliwezi kutokea. Tena akawahakikishia kabisa. Sasa hivi wakimuuliza sijui atajibu kitu gani!
Atajibu kuwa mpumbavu kishapatikana
 
Alisema anayeweza kuharibu uhusiano na Kenya ni mpumbavu, kisha akasema wapumbavu Tanzania ni wachache kwahiyo hilo haliwezi kutokea. Tena akawahakikishia kabisa. Sasa hivi wakimuuliza sijui atajibu kitu gani!
Sidhani kama atakuwa anawasema Kenya wapumbavu ni wengi saana kwamba ndo maana wakaamua kufunga mpaka.
 
Back
Top Bottom