RC Shigella: Hakuna mahindi yaliyozuiwa kuingia Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, Jana na leo tumevusha tani 570

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,665
Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilizoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote.

Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani horohoro ameelezwa na afisa forodha wa hapo kuwa tangu tarehe 5 march hadi leo zaidi ya tani 570 za mahindi zimevushwa kuingia Kenya bila usumbufu wowote.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Asante RC na iwe heri tuendelee na biashara soko letu kubwa lipo Sudani ya kusini Kenya ni mapito na sehemu ndogo ukanda soko Kenya ya Mashariki.
 
Wanasemaje kuhusu ile barua inasambaa kwa mitandao inayoelezea maamuzi ya Kenya kuzuia mahindi kutoka Tanzania?
 
Back
Top Bottom