Toka Rais Magufuli ameingia madarakani amekuwa na desturi ya kurudi nyumbani kwao Chato kila kipindi cha likizo yake kinapowadia.
Ni jambo zuri sana, ukilinganisha na wale waliokuwa kila kukicha...
KENYA WAMETUPIGA KWENYE MSHONO TENA.
Kenya umepiga marufuku mahidi ya Tanzania kwa kuwa Yana sumu inayosababisha Cancer na wametangaza hadharani na wameitangazia Dunia.
Mwaka 1776 Jasusi wa...
Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria (Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona.
Mrutu...
TAARIFA KWA UMMA
Serikali Iwasikilize Wamiliki wa Mabasi.
Kwa wiki sasa, sekta ya usafirishaji imeingia mushkeli baada ya Chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania (TABOA) kutishia na hata kusitisha...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imefanya Ibada maalumu kumuombea Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu katika Msikiti wa Riadh Sombetini, Arusha.
Zoezi limeongizwa na Diwani wa...
Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe Amewasili Kisiwani Pemba leo Jumapili, March 14, 2021.
Baada ya Kufika Kisiwani Pemba, Zitto Amefika Kijijini Nyali Mtambwe Kuzuru katika Kaburi la Maalim Seif...
Wakati Mh. Tundu Antipas Lissu anapigania uhai wake hospitali kwa kupigwa risasi kadhaa sisi tulitaka kumfanyia maombi.
Tulitaka kukusanyika na kumwombea kama taifa, mkakataa!
Hadi Wabunge...
Hivi karibuni kumetolewa madai na kenya kuhusu mahindi yetu kuwa na sumu kuvu. Swala la milipuko ya watu kuugua na kufa kwa kula mahindi yenye viwango vya juu vya aflatoxin limekuwepo nchini kenya...
Msimamo wetu juu ya afya ya viongozi wa umma upo dhahiri kwa kauli na vitendo. Ndio maana Mwenyekiti wetu alipougua, Chama na yeye mwenyewe binafsi tuliweka bayana kwa umma. Kiongozi wa umma ni...
Siku ya sheria imekaribia na Rais Magufuli atahutubia na jaji Mkuu atahutubia.
Hatujui Rais atasema nini lakini ni wazi hotuba ya Jaji Mkuu itasheheni historia ya Mahakama Kuu (High Court) kwa...
Jana WANAWAKE WA GEITA baada ya kusherekea sikuku yao. Hapo ni karibu na kwa Muheshimiwa Jiwe
Check out @UpendoPeneza’s Tweet:
Check out @UpendoPeneza’s Tweet:
SWISSME
Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba...
Mabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
Wanasema elimu ni bahari na pia elimu haina mwisho.
Katiba ni msingi mkuu wa maisha ambapo yaliyomo ni muhimu yakaridhiwa na wote kupitia sanduku la...
Dalili zipo wazi kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 utakuwa ni uchaguzi mgumu zaidi kuliko yote katika historia ya nchi yetu.
Siamini sana kama utakuwa huru na haki. Hata hivyo, naamini CCM itashinda...
Kiongozi si lazima awe mtu aliye katika nafasi ya mamlaka au mwenye cheo. Kimsingi, dhana nzima ya nafasi na vyeo ni mpangilio wa muda, ambao wakati mwingine hukuzwa mno na kutiwa nakshi isiyo...
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja, Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud ametangaza rasmi Tamasha la Zanzibar Sea Food Festival ikiwa na kauli mbio Kamata Mshipi Vumba ni Fursa.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile afungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania leo katika ukumbi wa Kambarage, jengo la...
Wanabodi,
Declaration of interest:
Mimi ni muhanga wa mimba za utotoni, nimelea watoto wangu wakubwa (the big ones) as a single parent father, na niliwalea kizungu hakuna kuchapwa viboko ni...
Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigela amewaagiza polisi na Takukuru kumkamata mara moja mwenyekiti wa TPSF mzee Shamte kwa tuhuma ya ubadhilifu na dhuluma ya zaidi ya sh bilioni 54
Mara baada ya agizo...
Uongozi ni dhamana. Dhamana ni Kuchunga ahadi ya utii wa taratibu na sheria ili kuongoza jamii ilioyokubaliana juu ya jambo fulani.
Tanzania ina Katiba , sheria, kanuni, Miongozo na UTAMADUNI...