brasy coco
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 1,489
- 896
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja, Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud ametangaza rasmi Tamasha la Zanzibar Sea Food Festival ikiwa na kauli mbio Kamata Mshipi Vumba ni Fursa.
Sina maneno mengi. Niliwahi kupata taarifa. Huyu anaandaliwa kuwa Rais wa Zanzibar ajaye.Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja, Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud ametangaza rasmi Tamasha la Zanzibar Sea Food Festival ikiwa na kauli mbio Kamata Mshipi Vumba ni Fursa.
View attachment 1724940