Wanawake wa CHADEMA Geita wakisherehekea Siku ya Wanawake

ccm ni ile ile oooooh ni ile ileee

Sent using Jamii Forums mobile app
tenor-1.gif

CCM imebaki Mifupa iko kwa Nguvu za GIZA.na Interahamwe.
 
Jana WANAWAKE WA GEITA baada ya kusherekea sikuku yao. Hapo ni karibu na kwa Muheshimiwa Jiwe

Check out @UpendoPeneza’s Tweet:

SWISSMENani kakwambia kuna mtu anataka kuua Upinzani..!?? Au una negative attitude yako tu..!! Upinzani uko kikatiba, sasa sijui unapata wapi hayo mawazo..!!
 
Nani kakwambia kuna mtu anataka kuua Upinzani..!?? Au una negative attitude yako tu..!! Upinzani uko kikatiba, sasa sijui unapata wapi hayo mawazo..!!

Wanauwa wapinza.jiwe Alisha Sema hayo

SWISSME
 
Ni kweli.
Hata dini inakua hivyo; ukiigandamiza dini nyingine sio kwamba unaiua Bali unaipa nguvu na ujasiri mkubwa zaidi.
CCM ni lazima kikubali kuwa ni chama kilichopo duniani Kwa ajili ya kuwaunganisha watu na kujenga upendo sio chuki.
Ukiwasikiliza makada wengi wa CCM utagundua kuwa wamejawa na chuki na paniki.
Watanzania hatutaki watu wa kutugawa Kwa sababu ya tamaa zao za madaraka na vyeo wanavyopeana ili waitafune nchi.

Kuna waliorudi CCM baada ya Wapinzani kuonyesha wazi kuwa 2020 hawatawapa nafasi ya kugombea urais.

Wapinzani wakijipanga Kwa hoja na kuziomba taasisi za dini za Kiislam na Kikristo. Wajitolee kusimamia chaguzi zote zinazokija kuanzia Zile za serikali za mitaa ili kila chama kiwe na wajibu wa kisimamia haki Kwa vitendo.

Mtu aingie madarakani Kwa halali ili hata akisimamia sheria asimamie Kwa haki.

Bila chaguzi za haki hakuna haki zaidi ya watu kulinda madaraka na vyeo vyao Kwa kuwagandamiza wananchi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom