Mabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
Wanasema elimu ni bahari na pia elimu haina mwisho.
Katiba ni msingi mkuu wa maisha ambapo yaliyomo ni muhimu yakaridhiwa na wote kupitia sanduku la kura.
Utaratibu wa wengi wape utatuondoa hapa tulipo ambapo chuki imejengeka kutokana na wengine kujisikia kutengwa.
Ikumbukwe kuwa unapokuwa mnufaika na mfumo fyongo ni nadra kwako kuyaona mapungufu.
Walisema mwenye shibe huwa hatambui uwepo wa wenye njaa.
Yote kheri. Mema na hata mabaya, yatufikishe kwenye kuchomoa betri, kukata moto na kuanza upya kwa mustakabala mwema wa nchi hii.
Mungu ibariki Tanzania.
Ninawasilisha.