Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,968
2,000
Wanabodi,

Declaration of interest:
Mimi ni muhanga wa mimba za utotoni, nimelea watoto wangu wakubwa (the big ones) as a single parent father, na niliwalea kizungu hakuna kuchapwa viboko ni kutumia adhabu mbadala, na being open and I did talk about sex, bring your boyfried or girlfriend home, matokeo nimeyaona, sasa mimi ni babu, nalea mwana na mjukuu!. Hivyo kwenye hii hoja ya mimba za mashuleni, japo siungi mkono the manner rais Magufuli anavyolizungumzia hili ila nina mwelewe sana anamaanisha nini.

Hili ni bandiko la swali nikiuliza:
"Je, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Media za Nje?. Kama ni Kudhalilishwa, Je, sisi Watanzania Wazalendo Tukubali na Tukae Kimya Wakati Rais Wetu Akidhalilishwa Au Tuchukue Hatua za Kujibu Mapigo?.

Hii tabia ya media za nje na haswa gazeti moja la jirani zetu kutwa kucha kumsemasema vibaya rais wetu, na sometimes kumchora katuni mbaya kuhusu kauli zake au uendeshaji wa mambo yetu ya ndani it's becoming too unbecoming, now its just too much!.

Kwa nini baadhi ya media za nje zimshupalie kumsema vibaya rais wetu Magufuli kila uchwao huku sisi wenyewe tupo na tumenyamaza?.

Habari yenyewe ni hii:
Banning pregnant girls from school is against the laws of Tanzania
Tuesday July 4 2017

President Magufuli’s remarks indicating his intention to stop girls from going to school is in contradiction of the laws and policies of his own country and his government’s failure to fulfil its obligation to protect and safeguard the rights of its citizens, especially the rights of its vulnerable citizens. ILLUSTRATION | JOHN NYANGA
THE EAST AFRICAN
In Summary
  • In addition to the Beijing Declaration and Platform for Action, the right to education as a basic right is enshrined in several international and regional conventions and protocols
By DINAH MUSINDARWEZO
We at Femnet in collaboration with our members in Tanzania and across the continent are committed to supporting President Magufuli and his government to achieve the above.

Dinah Musindarwezo is the executive director of the African Women’s Development and Communications Network, Femnet.
Mkuu BAK, asante kwa uzi huu, na kwa ruhusa yako, nimeutumia uzi wako huu kurutubisha bandiko langu hili ili kutoa wito wahusika wote kwa nini tusiwachukulie hatua waandishi kama hawa hata ikibidi, watimuliwe nchini kwetu na NGOs za raia wote wa kigeni ambao kutwa kuchwa wanamsema vibaya rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, watimuliwe na NGOs zao zifutwe?.
Tena baadhi ya waandishi ni raia wa kigeni wanaoishi nchini ambao kuwepo kwao tuu nchini ni kwa hisani ya rais Magufuli!. Unapokuwa ugenini kuna vitu ukiviona, hata kama sio, unajinyamazia!.

Kuna wakati aliyekuwa rais wa Zanzibar, enzi hizo Komandoo Dr. Salmin Amour alisemwa vibaya na BBC Swahili, hakukubali aliwashitaki na kulipwa fidia.

Mhe. Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe, usinyamaze kimya wakati rais wetu akidhalilishwa na media za nje. Pia Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu na Idara ya Habari Maelezo msinyamaze kimya, jibuni mapigo, rais wetu hawezi kudhalilishwa huku nyinyi mpo mmenyamaza kimya as if kinachofanyika ndio ni the right thing na ndio freedom of the press.

Waziri wa mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba ziangazie kauli za hawa raia wa nje walioko nchini wanaomsema sema vibaya rais wetu, kwenye main stream media za majirani zetu, .ikibidi wapewe PI na NGOs zao zifutwe.

Waziri wa Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, angalia uwezekano wa kufanya online censorship ya baadhi ya online media kama ilivyo nchini China, wa Tanzania tusome only the good stuff from online.

Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Balozi Agustine Mahiga jee diplomasia inaruhusu media ya jirani, with EA Regional Intergration on a pipeline, kwa media ya jirani kila kukicha kumkosoa rais mmoja wa nchi wanachama?. Is there anything that can be done kidiplomasia kuitumia serikali yao kutotumia media zao kuingilia mambo yetu ya ndani?.

Hili gazeti la The East African lilishapigwa marufuku kusambazwa Tanzania siku nyingi kutokana na kumsema vibaya rais Kikwete na kumchora kwenye vikatuni vya ajabu ajabu, sasa limemkomalia rais Magufuli kila kukicha from time likimsema vibaya na kumchora katuni za kumdhalilisha, hivyo namshauri Waziri Mwakyembe atafute zile devices za ku block online contents kama wafanyavyo China ili tuliblock kabisa hili gazeti lisisomwe Tanzania.

Watu pekee wenye uhalali wa kumsema vibaya rais wa nchi yoyote ni raia wa nchi hiyo na sio wageni, hivyo watu wenye uhalali wa kumkosoa rais Magufuli na kumsema vibaya ni sisi Watanzania wenyewe ambao ndio tulimchagua rais Magufuli kuwa rais wetu. Ilitokea sisi haturidhishwi na utendaji wake, sisi Watanzania ndio wenye haki hiyo ya kumsema vibaya au vyovyote kwa sababu sisi ndio waajiri wake!, na media zenye haki hiyo ni media zetu Tanzania na sio media za jirani au media za nje.

Kama sisi Watanzania wenyewe tunampenda rais wetu na kumkubali sana, kwa nini tusiwatimue nchini kwetu raia wote wa kigeni walio nchini ambao wanamsema vibaya rais wetu kwenye media mbalimbali za nje?.

Haki ya Kukosoa na Kumsema Vibaya Rais wa Nchi. Ina Mipaka!.
Wenye haki ya kumsema vibaya Trump kwenye media ni Wamarekani wenyewe, vivyo hivyo wenye haki ya kumsema vibaya rais wetu Magufuli kwenye media ni sisi Watanzania wenyewe!.

Jee Rais Magufuli ni Malaika?.Hakosei, Asisimwe?.
No rais Magufuli sio malaika, ni binadamu hivyo ana haki ya kukosea kama binadamu yoyote na kuna mambo anakosea kama binadamu mwengine yoyote, lakini haki ya kumkosoa kwenye makosa ya mambo yetu ya ndani, ni haki ya Mtanzania na media zetu na sio media za jirani!.

Kitendo cha media za nje kumshupalia rais Magufuli ni kumdhalilisha.

Kama ilivyo ngazi ya familia, unaweza kukaa jirani na wife battering husband as neighbours na kila siku unasikia vilio vya mke wa jirani akichezea kichapo na asubuhi unamuona na manundu, hata kama huyo mke anayechezea kisago hajalalamika kwako, wewe kama jirani mwema, huna ruhusa ya kumtangazia vibaya jirani yako huyo kuwa ni wife battering husband m-baya ambaye humpiga mkewe kila uchao!.

Kwa vile Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayoongozwa na katiba yanye kuheshimu haki na utawala wa sheria, taratibu na kanuni, kila kinachofanywa na rais wetu ni kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni, na hata rais wetu yuko chini ya katiba na anapaswa kufanya kila kitu kwa mujibu wa katiba kwa kufuata sheria taratibu na kanuni na ikitokea rais akafanya kinyume cha katiba, sheria, taratibu na kanuni, pia ziko sheria taratibu na kanuni za kumshughulikia rais anapokwenda kinyume cha katiba au sheria.

Kama rais wetu Magufuli anatenda kinyume cha katiba na sheria, na taratibu za kumshughulikia zipo lakini sisi Watanzania wenyewe tumeridhika naye hivyo hivyo anavyotenda iwe kwa kuvunja katiba au kinyume cha katiba sheria, taratibu na kanuni, lakini sisi wenyewe Watanzani tumeridhika na kukubali, who the hell is jirani anayekuja kutusemea kwenye media yao kuwa rais wetu amekosea?. Kama wenyewe tumekubali na tumeridhika, huyu jirani anamsemea nani?!.

Mimba za Utotoni.
Mila zote, desturi zote na dini zote ninakataza sex before marriage. Hivyo binti akipata mimba hufukuzwa shule na kwa wengine hufukuzwa hadi nyumbani!. Alichokisema Rais wetu Magufuli kaamua binti akipata ujauzito shule za umma basi, sio kitu kipya na ndicho kilichokuwa kinafanyika Tanzania siku zote tangu tupate uhuru, mtoto wa kike wa shule, akishika ujauzito, haijalishi hiyo mimba ameipata katika mazingira gani, kabakwa, nwalimu, umbali wa shule, umasikini uliotopea, hivyo binti kujijuta lazima atoe alichonacho ili kupata mahitaji, ni tamaa tuu kuanza mambo makubwa mapema, au amedanganywa na chips kuku za mafataki, akibeba tuu, ni lazima anafukuzwa shule na wengine pia anafukuzwa nyumbani!. Huu ndio utaratibu wetu na Watanzania tumekubalia na hatuja chukua hatua yoyote kupinga, why jirani aingilie mambo yetu ya ndani?!.
Namalizia kwa hili swali la msingi
"Jee Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Media za Nje?. Kama ni Kudhalilishwa, Jee Sisi Watanzania Wazalendo Tukubali na Tukae Kimya Wakati Rais Wetu Akidhalilishwa Au Tuchukue Hatua za Kujibu Mapigo?.
Paskali
Rejea.
Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...

Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,149
2,000
Mkuu hili swala kila mtu ana namna anavyoliona. Na kwa vile Mkuu wa Kaya keshatoa tamko..amehitimisha mjadala. Kama tungekuwa na bunge la maana (achana na hili ambalo ni useless na ndiyo mzee), we could have our efforts directed through the bunge. Kupitisha sheria (hata kama JPM angekataa kuipitisha), lakini atleast angejua kwamba people are not with him kwenye hili.

Nilishangaa sana kuona hata VP ambaye ni mwanamke, Naibu Spika ambaye ni mwanamke walishindwa hata kutoa kauli kuhusu hili la mimba.

Again, as usual in Africa when we eat we don't talk!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,292
2,000
Wanabodi,
Declaration of interest.
Mimi ni muhanga wa mimba za utotoni, nimelea watoto wangu wakubwa (the big ones) as a single parent father, na niliwalea kizungu hakuna kuchwapwa viboko na being open and I did talk about sex, bring your boyfried or girlfriend home, matokeo nimeyaona, sasa mimi ni babu, nalea mwana na mjukuu!. Hivyo kwenye hii hoja ya mimba za mashuleni, japo siungi mkono the manner rais Magufuli anavyolizungumzia hili ila nina mwelewe sana anamaanisha nini.

Hili ni bandiko la swali nikiuliza
"Jee Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Media za Nje?. Kama ni Kudhalilishwa, Jee Sisi Watanzania Wazalendo Tukubali na Tukae Kimya Wakati Rais Wetu Akidhalilishwa Au Tuchukue Hatua za Kujibu Mapigo?.

Hii tabia ya media za nje na haswa gazeti moja la jirani zetu kutwa kucha kumsemasema vibaya rais wetu, na sometimes kumchora katuni mbaya kuhusu kauli zake au uendeshaji wa mambo yetu ya ndani it's becoming too much now.

Kwa nini baadhi ya media za nje zimshupalie kumsema vibaya rais Magufuli kila uchwao huku sisi wenyewe tupo na tumenyamaza?.

Tena baadhi ya Waandishi ni rais wa kigeni wanaoishi nchini ambao kuwepo kwao tuu nchini ni kwa hisani ya rais Magufuli.

Kuna wakati aliyekuwa rais wa Zanzibar, enzi hizo Komandoo Dr. Salmin Amour alisemwa vibaya na BBC Swahili, hakukubali aliwashitaki na kulipwa fidia.

Mhe. Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe, usinyamaze kimya wakati rais wetu akidhalilishwa na media za nje. Pia Kurugenzi ya Mawasiliano na Idara ya Habari Maelezo msinyamaze kimya, jibuni mapigo, rais wetu hawezi kudhalilishwa huku nyinyi mpo mmenyamaza.

Waziri wa mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba ziangazie kauli za hawa raia wa nje walioko nchini wanaomsema sema vibaya rais wetu, ikibidi wapewe PI na NGOs zao zifutwe.

Waziri wa Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, angalia uwezekano wa kufanya online censorship ya baadhi ya online media kama ilivyo nchini China, wa Tanzania tusome only the good stuff from online.

Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Balozi Agustine Mahiga jee diplomasia inaruhusu media ya jirani, with EA Regional Intergration on a pipeline, kwa media ya jirani kila kukicha kumkosoa rais mmoja wa nchi wanachama?. Is there anything that can be done kidiplomasia kuitumia serikali yao kutotumia media zao kuingilia mambo yetu ya ndani?.
Habari yenyewe ni hii

Mkuu BAK, asante kwa uzi huu, na kwa ruhusa yako, nimeutumia uzi wako huu kurutubisha bandiko langu kutoa Wito kwa wahusika wote kuwachukulia hatua waandishi kama hawa hata ikibidi, watimuliwe nchini kwetu na NGOs za raia wote wa kigeni ambao kutwa kuchwa wanamsema vibaya rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, watimuliwe na NGOs zao zifutwe!.

Hili gazeti la The East African lilishapigwa marufuku kusambazwa Tanzania siku nyingi kutokana na kumsema vibaya Kikwete na kumchora kwenye vikatuni, sasa limemkomalia rais Magufuli kila kukicha from time likimsema vibaya na kumchora katuni za kumdhalilisha, hivyo namshauri Waziri Mwakyembe atafute zile devices za ku block online contents kama wafanyavyo China ili tuliblock kabisa hili gazeti lisisomwe Tanzania.

Watu pekee wenye uhalali wa kumsema vibaya rais Magufuli ni sisi Watanzania wenyewe ambao ndio tulimchagua rais Magufuli kuwa rais wetu. Ilitokea sisi haturidhishwi na utendaji wake, sisi Watanzania ndio wenye haki hiyo ya kumsema vibaya au vyovyote kwa sababu sisi ndio waajiri wake!, na media zenye haki hiyo ni media zetu Tanzania na sio media za jirani au media za nje.

Kama sisi wenyewe tunampenda rais wetu na kumkubali sana, kwa nini tusiwatimue nchini kote raia wote wa kigeni walio nchini ambao wanamsema vibaya rais wetu?.

Haki ya Kukosoa na Kumsema Vibaya Rais wa Nchi. Ina Mipaka!.
Wenye haki ya kumsema vibaya Trump kwenye media ni Wamarekani wenyewe, vivyo hivyo wenye haki ya kumsema vibaya rais wetu Magufuli kwenye media ni sisi Watanzania wenyewe!.

Jee Rais Magufuli ni Malaika?.Hakosei, Asisimwe?.
No rais Magufuli sio Malaika, ni binadamu hivyo anakosea kama binadamu mwengine yoyote, lakini haki ya kumkosoa kwenye makosa ya mambo yetu ya ndani, ni haki ya Mtanzania na media zetu na sio media za jirani!.

Kitendo cha media za nje kumshupalia rais Magufuli ni kumdhalilisha.

Kama ilivyo ngazi ya familia, unaweza kukaa jirani na wife battering neighbours na kila siku unasikia vilio vya mke wa jirani akichezea kichapo na asubuhi unamuona na manundu, hata kama huyo mke anayechezea kisago hajalalamika kwako, wewe kama jirani huna ruhusa ya kumtangazia vibaya jirani yako huyo kuwa ni mbaya humpiga mke!.

Kwa vile Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayoongozwa na katiba yanye kuheshimu haki na utawala wa sheria, taratibu na katuni, kila kinachofanywa na rais wetu ni kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni, na hata rais wetu yuko chini ya katiba na anapaswa kufanya kila kitu kwa mujibu wa katiba kwa kufuata sheria taratibu na kanuni na ikitokea rais akafanya kinyume cha katiba, sheria, taratibu na kanuni, pia ziko sheria taratibu na kanuni za kumshughulikia rais anapokwenda kinyume cha katiba au sheria.

Kama rais wetu Magufuli anatenda kinyume cha katiba na ssheria, na taratibu za kumshughulikia zipo lakini sisi Watanzania wenyewe tumeridhika naye hivyo hivyo anavyotenda iwe kwa kuvunja katiba au kinyume cha sheria, wenyewe tumeridhika na kukubali, who the hell is jirani anayekuja kutusemea kwenye media yao kuwa rais wetu amekosea?. Kama wenyewe tumekubali na tumeridhika, huyu jirani anamsemea nani?!.

Mimba za Utotoni.
Mila zote, desturi zote na dini zote ninakataza sex before marriage. Hivyo binti akipata mimba hufukuzwa shule na kwa wengine hufukuzwa hadi nyumbani!. Rais wetu Magufuli kaamua binti akipata ujauzito shule za umma basi. Watanzania tumekubalia na hatuja chukua hatua yoyote kupinga, why jirani aingilie mambo yetu ya ndani?!.

Namalizia kwa hili swali la msingi
"Jee Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Media za Nje?. Kama ni Kudhalilishwa, Jee Sisi Watanzania Wazalendo Tukubali na Tukae Kimya Wakati Rais Wetu Akidhalilishwa Au Tuchukue Hatua za Kujibu Mapigo?.
Paskali
Yyeye amewadhalilisha wangapi? Mkuki kwa nguruwe........
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,390
2,000
Mkuu hili swala kila mtu ana namna anavyoliona. Na kwa vile Mkuu wa Kaya keshatoa tamko..amehitimisha mjadala. Kama tungekuwa na bunge la maana (achana na hili ambalo ni useless na ndiyo mzee), we could have our efforts directed through the bunge. Kupitisha sheria (hata kama JPM angekataa kuipitisha), lakini atleast angejua kwamba people are not with him kwenye hili.

Nilishangaa sana kuona hata VP ambaye ni mwanamke, Naibu Spika ambaye ni mwanamke walishindwa hata kutoa kauli kuhusu hili la mimba.

Again, as usual in Africa when we eat we don't talk!
VP na Naibu supuka wote walibembwa hawawezi kwenda kinyume na bwana mkubwa japo ukweli wanaujua, shida ya bwana mkubwa amekulia kwenye mfumo dume. Angalia Halima Mdee yupo polisi kisa katetea watoto wa kike.
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
7,960

Pasco kubishana na vichaa ni kujidhalilisha wakati tuna mambo lukuki ya matatixo yanayotukabili kitaifa.

Tuachane na hao foreign media, mradi tunajua tunafanya nini.
 
tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,195
2,000
watu mko bize na kum-protect rais wenu from everything you think s bad. JPM ni mwanasiasa so hayo mnayoyaona matusi/kudhalilishwa ni sehemu ya siasa. kuna njia moja tu kama hutaki kusemwa/kukosolewa/kujadiliwa-USIFANYE SIASA. Yeye kila akisimama na kushika Microphone LAZIMA kutakuwa na mtu/watu wa kuwananga/kuwapiga vijembe hata kuwatukana so akijibiwa msi-panick. Either mnajua mtu wenu yuko weak ndio maana mnam-over protect or mnatafuta nafasi za kuteuliwa otherwise yanayotokea ni siasa
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,968
2,000
Mkuu Paschal toka umeende kwenye maonyesho ya saba saba umebadilika sana, media za nje zinayoyasema ni ya kweli au ya uongo? kwa nini bwana mkubwa anapenda kusifiwa tu na siyo kukosolewa kama watu wengine? ukinijibu hayo tutakuwa pamoja.
Mkuu Babati, what mimi kwenda Saba Saba has to do with this?, nimebadilika nini?.
P
 
getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,145
2,000
Mkuu hili swala kila mtu ana namna anavyoliona. Na kwa vile Mkuu wa Kaya keshatoa tamko..amehitimisha mjadala. Kama tungekuwa na bunge la maana (achana na hili ambalo ni useless na ndiyo mzee), we could have our efforts directed through the bunge. Kupitisha sheria (hata kama JPM angekataa kuipitisha), lakini atleast angejua kwamba people are not with him kwenye hili.

Nilishangaa sana kuona hata VP ambaye ni mwanamke, Naibu Spika ambaye ni mwanamke walishindwa hata kutoa kauli kuhusu hili la mimba.

Again, as usual in Africa when we eat we don't talk!
Binafsi sujaelewa andiko lako.! Wataka kusema ungependa kuona mabinti wanarudi shule za serikali baada ya kupata ujauzito?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom