Kuhusu walinzi wa Hayati Magufuli, Ombi kwako Rais Mama Samia Suluhu

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...

Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.

Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
 
Wabongo bwana... Hivi kwa akili zenu mnadhani mambo yanaendaga kirahisi rahisi tu! Kila sehemu na taratibu zake.. hadi unakuwa afisa wa ngazi za kulinda rais maana yake wanastahili.. wacha wakapangiwe majukumu mengine na wengine wapate nafasi pia.
 
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...

Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.

Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
Naambiwa kati ya uliowaona wameshafariki, covid.

Update===
Nilipoipata hii habari kuna kanusho, kunradhi.
 
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...

Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.

Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele

Acha mahaba wewe,washamaliza kazi yao,warudi kwenye vitengo kufanya kazi nyingine,kila zama na kitabu chake! Mbona wa JK hawakuenda kwa JPM?
 
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...

Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.

Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
Hao walinzi wakamatwe na kufungwa maisha. Wamefanya kazi gani kama rais anafariki na walikuwa na resources zote za kumwokoa?

Wame prove failure bure kabisa hao
 
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...

Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.

Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
YAANA UNAWAFUNDISHA KAZI WANAOJUA KAZI YAO....Mbana wako wengi wazuri zaidi ya hao uliowataja.
 
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...

Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi walioimudu kuliko kuwarudisha Makumbisho PSU. Kuna yule Black, Yule wa Sigda kichwani na moja hivi mwembamba mrefu anapigaga miwani.

Kwa yule ADC basi naye akirudi jeshini kama kawaida umpe Ubigredia kama watangulizi wake. hawa ni mashujaa wetu na wamepata maumivu makubwa mno kutokana na hiki kifo. Mungu awape faraja ya milele
Hakuna kosa kubwa kama hilo la kuendelea kutumia walinzi wa mtanguliz wako

Hao waondolewe wote na waondolewe immune waliyo kuwa nayo

Rais mpya apewe safu nyingine mpya ya ulinzi.
 
Huu sasa ni uboya.
Kama makumi elfu ya vijana wa JKT wako mtaani na hali bado shwari hata hawa wakirudi walikotoka hali itakuwa shwari.
Wewe nani uwapangie watu?
 
Hivi hao watajwa hawakuhusika kwa namna yoyote na wasiojulikana hata kwa kubeba maagizo na kuyafikisha sehemu husika?
 
Back
Top Bottom